Brian Nadra ft Bon'Eye and Konkodi - Bonge Lyrics


Brian Nadra

Hood boy yani boy wa mtaa

Juu tu sana yeah you know I'm a star

Drinks on me, we gon buy the whole bar

Fukuza hii baridi na ka fry siko njaa

Ah, ndio wanashangaa, bro nini hio umevaa

Swagga balaa, nikishika mic pale madem wana swalalala

Swalalalala swalalala, ha ha ha swalalalala

And I'm only getting started, crazy not retarded

Groupies show me love DMs are bombarded

Anytime you see me ill be fresh off the oven

Yani hot cake got the looks from my daddy

Phobia yangi ni kufa msoto

so imma go hard kama punch ya kushoto


Bonge Bonge

Ongeza hewa usinyonge

Bonge Bonge, tunawapa mavidonge

Bonge Bonge

Ongeza hewa usinyonge

Bonge Bonge, tunawapa mavidonge

Boneye


Ni yule headmaster karibu darasa

Leta nyokonyoko nyahunyo nachapa

Rarua hizi tracki hadi zina**

Chafua meza munachanga

Sina pesa kwa kibeti zote kwenye benki mula in plenty

Funga biashara kama haileti

Ka salo kako kwangu ni ka petty

Ni yule boy, wa Kangemi, ulizia pale kwa wa Boniii

Mgenge halisi yani tangu zamani

Bad boy au pia baba watoto, mzee wa familia kama jomo

Sipendi mizozo, jifanye mjuaji unakula kokoto

Nadunga madigaga wakidai za macho

Chonjo Chonjo



Bonge Bonge

Ongeza hewa usinyonge

Bonge Bonge, tunawapa mavidonge

Bonge Bonge

Ongeza hewa usinyogne

Bonge Bonge, tunawapa mavidonge

Konkodi

Hii ni master copy wana role play

kuja na ripple I am the new wave

skinny ninja ego bonge!

yes ni konkodi but buda keep change!

I make em go bananas imebaki

imebaki wameze ndizi,

give em a run gave em a run

wakimbizi, ah what agwan

sijali cost kupiga mbizi,

mi si celeb but nina msupa anaitwa kiki,

mpe D ago gaga, sema digaga

kama  gyna sitafuti P

ni papa samba, msupa shuka

nita panda backstage quickie quickie

juu manze nina haraka kwa boxer baraka

kinyang'unya chapa chapa,

nika m surf sasa mtoto ame DATA

Alitaka  amepata chora namba

toka keja akitembea kama Bata





Bonge Bonge

Ongeza hewa usinyonge

Bonge Bonge, tunawapa mavidonge

Bonge Bonge

Ongeza hewa usinyonge

Bonge Bonge, tunawapa mavidonge


Check out the video here:  https://www.youtube.com/watch?v=YvJotWdnZI8






Comments

Popular posts from this blog

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

Senzenina By King Kaka Lyrics

Mtakatifu Lyrics- Isaac Wangai x Pitson