Posts

Showing posts from January, 2023

Mtakatifu Lyrics- Isaac Wangai x Pitson

Image
 Mtakatifu ni wewe, Mwaminifu ni wewe Mwema ni wewe, (hakuna) mwingine kama wewe  Mtakatifu ni wewe, Mwaminifu ni wewe Mwema ni wewe, (hakuna) mwingine kama wewe  Utukufu wakuzingira, Malaika waabudu Wasujudu mbele zako, wakisema kwamba wewe, wewe ndiwe Mungu X2 Mtakatifu ni wewe, Mwaminifu ni wewe Mwema ni wewe, (hakuna) mwingine kama wewe  Uwepo wako nafurahia, wimbo nakuimbia Nasjudu mbele zako nikisema kwamba wewe, wewe ndiwe Mungu X2 Mtakatifu ni wewe, Mwaminifu ni wewe Mwema ni wewe, (hakuna) mwingine kama wewe  _Bridge_ Umestahili ewe Bwana Mungu wetu Kupokea utukufu, heshima na uweza, milele na milele X4 Mtakatifu ni wewe, Mwaminifu ni wewe Mwema ni wewe, (hakuna) mwingine kama wewe  Mwingine kama wewe, mwingine kama wewe  Mwingine kama wewe, milele na milele X2

Neema Yako Lyrics - Rehema Simfukwe

Image
 Haya ni maombi yangu kwako, wote ninaowapenda wasipitwe na neema yako.  Basi ikiwa ipo ahadi, ya kuingia rahani mwako sitaki kukosa na niwapendao. X2 Funua neema yako, familia yangu ikujue Funua neema yako mataifa yote yakujue Haya ni maombi yangu kwako, wote ninaowapenda wasipitwe na neema yako.  Basi ikiwa ipo ahadi, ya kuingia rahani mwako sitaki kukosa na niwapendao. X2 Funua neema yako, familia yangu ikujue Funua neema yako mataifa yote yakujue Neema yako (Tusipitwe na) Neema Yako X4 <Intercession> Funua neema yako, familia yangu ikujue Funua neema yako mataifa yote yakujue Neema Yako