Posts

Showing posts from October, 2018

SIJASKIA VIBAYA - FENA FEAT. NJUGUSH lyrics

Image
FENA Nimeshinda nikiomba Khali collabo, Miaka mingi ananiambia mmh bado Ata sijaskia vibaya*2 Anakishow rudi studio okota kadoh before you call Jones to be in your video Ata sijaskia vibaya*2 Nikamshow, you just give me one year, I'll be rocking shows from the front to the rear You gonna wish you gave me that chance utalia Utaniomba lift in my private Lia Enyewe nilikua nimeskia vibaya Sikuhizi mi ndio nanyimana collabo Nimepanda bei nimepanda gwaya Wacha waskie vibaya*2 Chorus Sasa Mimi ni Don number one boss lady waskie vibaya Nimekua chini nikihustle daily na sina ubaya Shikisha kama veve eastleigh, nawashikisha na njeve baridi Kuzidi ntazidi wazidi kuskia vibaya FENA Oh, wacha waskie vibaya, wacheke na wewe wakutakie mabaya Kwangu Kila la heri Mungu wangu halali Wakidhani ntafeli nazidi Hadi ulaya Napiga looku na swag hadi ni retire Najaza booku kwa denri begi ni fire Nipate mwisho wa mwezi cheque ni waya napiga picha selfie kwa benk