Posts

Showing posts from December, 2016

Lyrics to Problem by Naiboi (RAPDAMU)

UUUH UUUHH NANANA NAIBOI YEEAH IS PROBLEM ZAGA KWANI BOSS

(CHORUS) WHEN I STEP ON THE SCENE  HEY YOU KNOW AM A PROBLEM (PROBLEM)   NA VILE UMEBEBA MADAM  UTANILETEA PROBLEM (PROBLEM) NAONA TU WATU IN HERE NA SITAKI NO PROBLEEEEEM KAPESA KADOGO HULETANGA KAPROBLEM (KACHIING) OOOOH SASA NI PROBLEM IS A PROBLEM  OOOOOH A BIG PROBLEM IS A PROBLEM HAPA NI PROBLEM IS A PROBLEM OOOOOH A BIG PROBLEM IS A PROBLEM SASA KUNA PROBLEM IS A PROBLEM EEEEEEH A BIG PROBLEM IS A PROBLEM HAPA NI PROBLEM IS A PROBLEM OOOOH A BIG PROBLEM IS A PROBLEM
YEH SI AM A BOSS I CAN DO WHAT I WANT TOO NA HAWA MAFALA WANABONGA WATA LEARN TU BOOMSHAKALAKA BAD MAN WHEN I COME THROUGH ZAGA TAKE IT EASY GIRL PROBLEMS GONNA HUNT YOU (YUUH) RING THE ALARM I SEE BLOOD ON THE DANCE FLOOR (OOOOH) OMWANA NI SHINA SHIKHUNYASINJA OHH MAMY......ZAGA
(CHORUS )
1 BY 1  I GO 2 PAST 3 COZ I AM ONLY LOOKING 4 YOU NIMENGOJA FIGURE NUMBER 8 KUTOKA SAA 6 NSAA 7  SO WHERE ARE YOOOOUU? CAUSING PROBLEM IN THE CITY OF NAIROBI NAIBOI KIJANA…

Love You lyrics by Elani.

Image
Yelelelelelelelele yelele ahh*2

Mwanzo wewe ni dhahabu, kama chakula kitamu
Nacho taka unipende, na mi nikupende.
popote pazuri nikupeleke, heei nikupeleke
nacho taka unipende, nami nikupende.
Anything for you baby
Anything for you my baby.
Everything for you baby
Everything for you my baby.
Nakupenda kila siku we ni maua, (uuh baby)
Sweety I love you, I love you
Nakupenda kila siku we ni Maua,( uuh baby)
Sweety I love you, I love you

I love you, nakupenda mpenzi
I love you, nakupenda baby.
I love you nakupenda mpenzi
I love you, love you love you love you love you
love you  *2

Yelelelelelelelele yelele ahh*2

Nimetembea pote, nimezunguka kote kote
Sijawahi muona mrembo msupa kama huyu hapa
Nitakupa vyote, afadhali nisote yangu yoteee, niwe na weee baaaby eeeeeeeeh

Anything for you baby
Anything for you baby.
Everything for you baby
Everything for yoooou.

Chorus
Nakupenda kila siku we ni maua, (uuh baby)
Sweety I love you, I love you
Nakupenda kila siku we ni Maua,( uuh baby)
Sweetie I …

Masheesha Lyrics by H_Art The Band ft BenSoul

Image
Msupa wangu anataka masheesha, na kwa mfuko pesa zangu zimeisha. 
Na yule waiter ananitisha, ati mabouncer atawaita. 
Na huyu dem bado anaitisha, na mi nashindwa sasa venye nitazusha
Tulipatana juzi kwenye insta-grrram na mi staki choma picha.
Chorus Itakua ngori, skiza stori, wacha kuckeka hii ni ngorinilimwacha bila sorry.na ukicheza
utapatana na ye patana na ye patana na ye ye ye ye *4
Kwenye profile mimi ni lawyer,kizungu tamu kama ile ya LumumbaLakini ukweli mimi ni  Hawker, nina thao mbili manze leo kulidhoka, makanjo walinishka hatani bahati stenje bado sijafika, na huyu dem zake bado hazijashika, mzinga tatu sasa zimekatika
Itakua ngori, skiza stori, wacha kuckeka hii ni ngorinilimwacha bila sorry.
na ukicheza utapatana na yepatana na ye patana na yeye wewe demu wa masheesha*4
Sasa nawaza vile nitaenda chooNitoroke huko nyuma backdoorAkinisaka asinipate ng'ooakiuliza aambiwe nimegooLakini vile mi naenda kuchomokaYule waiter akaniona, hiyo billakaidrop, na kwa mfuko  mimi sina ha…