Posts

Showing posts from October, 2016

No Woman no Party lyrics- Kansoul

Image
Kansoul hehe
Mejja
Woote
Tunaye Mejja, tunataka Lucy
Tunaye Maddy tunataka Betty
Tunaye Kora (Kidkora) tunataka Mercy (whoop)
Atieno, Nyambura, Naisola
No woman no party , no party ×4 No Hellen no party , no party. No Patricia no party, no party.
No Jackie no party, no party, no Michelle no Meghan no Susan no party. Ah, Taka kuona maskati, kwa dance floor akikatika katikati
Ka umesimama, chali kwa chali tafadhali beshte rudi nyumbani.
Ah ntaka manzi mswahili, anionyeshe uthamu wa uji ,
Uthamu wa uji nkutingisha birauli
Manzi mjaka, nyuma amejibeba niile haga ikipita yani huwezi lenga
Aah manzi wa kakamega, teke county miguu ndio kusema haha manzi mkamba
Mi huskia kunengua mambo mbaya
Ooh my commanding wife, manzi wa nyeri ukimnyima dime
she will destroy your life. Tunaye Mejja, tunataka Lucy
Tunaye Maddy tunataka Betty
Tunaye Kora tunataka Mercy
Atieno, Nyambura, Naisola
No woman no party  ×3
No Michelle no Meghan no Susan no pareee I said there's no pareee, no party
If there'…

Mungu Pekee Lyrics By Nyashinski

Image
Sijui Ka ntaona kesho
Ka ningali na uwezo wa kuifanya ntaifanya hadi mwisho
Mwambieni uyo devo, simwogopi shetani, Sir God yuko nami hadi kifo
Ka ntaona kesho, nipe nguvu na uwezo wa kijana na akili za mzee
Daima ni we, Imara wasiniangushe. Naona saa, kila siku nizawadi toka Maulana
So haja gani ushike tama Mum, Majaribu huisha ooh aae!
Na hata ka, maadui zangu watashikana nao njama siogopi nasimama mum Yakiama yao yaja eeh.
Hio ndio pace nasonga nayo, wanashangaa hakuna stress nakuanga nayo
Naishi ka sina Case mahakamani, Au madeni za majirani niko Fresh njee na ndani, oooh yaae! Chorus
Naamwogopa Mungu Pekee,
wanadam' kija kuntafash naomba Mungu Ntetee, maneno
yao yasiniumize nfanye sugu wewe.
Wakitry kuntisha naomba nisitetemeke. I know you love me, know you love me
So I Don't fearNobody But You
I know you love me know you love me Nisitetemeke ×2 Ah! Siamini joh ju vile naishi life
Ni ngumu kuamini hii si ndoto.
Sijui kesho vile itakaa kwa hivyo leo nitaifanya ka kidogo h…