Posts

Showing posts from May, 2017

Nairobi Yangu Lyrics by Gilad and Superband

Image
Nairobi yangu, Nairobi yangu
My city in the sun
Nimeishi New York, LA and London and they were nice,
Nimeona Amsterdam, Barcelona and Istanbul with my own eyes,
But, kuna city moja, where I found love, Nairobi love,


Nairobi yangu, Nairobi yangu
Where I found love
My city in the sun


Driving through the streets of Nairobi,
she may not be Paris or Rome,
but here you'll never be alone.
Look into the people's hearts,
they'll show you love,
we call it Nairobi love Nairobi love Driving through the streets of Nairobi,
Don't worry about the traffic or noise and
don't be afraid of the street boys.
Just look into the people's hearts,
They'll show you love,
we call it Nairobi love, Nairobi love Nairobi yangu, Nairobi yangu
We call it Nairobi Love
Nairobi yangu

Sleep sweet Nairobi
It ain't always easy to see the light
(Sleep sweet Nairobi)
Nairobi yangu.
(Sleep sweet Nairobi)
Sleep peacefully tonight
Nairobi yangu
(Sleep sweet Nairobi)
It ain't always easy t…

Aminia Lyrics by Nyashinski

Image
Niko hapa kuwapa mziki mzuri wako hapa tu kuwa famous
Ama juu waliskia marraper hupendwa na madem, basi wanajiita lyricist hawawezi ita views, ni Mimi tu ndio nimetoa lyrics video ikahit a million views Eti Nyash hii area si ulikam na ubaya
Iko watu husema heri ata ungekuhamia ulaya
Umerudi wasanii wakaanza kuambiwa waretire
Secular lakini unaandika gospel fire
Si live a lie, najua ntasound nikaa Niko madre
But juzi walai nilipanda matatu na Trey
Na siuzi mayai, nimetoka mbali I say na siishi rongai
True story
Klepto si mtarudiana lakini hatujawai achana, tunarudiana kwanini
Na majaliwa inshalah mi nahawa vijana wawili tutazidi sana kando na kukosana niamini
Tuspiane akili mi nina kichaa
Waambie waache kujichokesha ulimi mi ndio teacher
Enyewe manze wataacha lini, kujichocha
Juu ni clear tukismama ao na mi ni mi mnapreffer Aminia oh nananana na na na na *5
Aminia Ah ah ah ah ah aie. *3 Kuna tenje yangu flani heri ibaki mteja tu
Au nkitoka niiachange kwa keja tu
Najua ikilia ni mtu ana…

Hasara Roho Lyrics by Darasa

Image
Ah kama unataka kiki kwa pikipiki
Mara black mara white vipi
Kama unatikisa kibiriti
I play no game I’m sorry rafiki
Ukija kama upepo utapepea
Ukijifanya una mapepo tunakemea
Kama unataka mchezo kawashe runinga
Siku hizi hakuna mtu anataka ujinga
Ujanja wa nyani mjini utaingia kingi
Meli inaelea feri inazama shilingi
Haraka na harakati zako za pimbi
Unataka kucheza wewe na ushike filimbi Binadamu angekua neja
Maneno yangeshutiki kama risasi
Vitu vingine vikienda
Havirudi reverse kama samaki
Hasara roho inachopenda tunasemaga pesa makaratasi
Hakuna wasiwasi tukaze mwendo ili tuende na wakati eh Tuweke tuzo za wachukiaji
Bongo kuna watu wana vipaji
Utarusha madongo kwenye maji
Bora upige michongo utanipa midadi
Mara chenga mara no networki
Zigizaga vitu havieleweki
Life siku hizi imezidi kuwa complicate
Ukichanganya na mambo ya internet (jeraha)
Mwisho utatukana picha ukutani (jeraha)
Si atutafuti mchawi nani
Sasa chagua utajifungia chumbani
Au unatoka goma lipo uwanjani
Kushoto kulia j…

Malaika by Nyashinski Lyrics.

Image
Wuuu Huu huu, Yeyyeiyei Wooohoa Nanana
Ooh, I love you baby
Uko na tabia za kupendeza roho
Tabasamu ya kupapasa macho
Sauti yako nikiskia pia natulia  yanipunguzia hasira nnazo
Urembo wako ulininasa roho
Siku ya kwanza kukuona kwa macho
Sa moyoni umekwamia siwezi kutania  njoo unipunguzie mawazo
And I feel you in my air when I breathe
I see you in my dreams when I sleep
You're the one I've been waiting for all my life
Mmh, deep down in my heart I believe
Unanifeel nakufeel hii ni real
The one I've been waiting for all my life
Chorus Uko sawa na, wote malaika na mabawa yao
Wote wanakuiga we ndio mama yao
Ni wewe nachagua sisemi nao
Sisemi  Ooh baby uko sawa na, wote malaika na mabawa yao
Wote wanakuiga we ndio Mama yao
Ni wewe nachagua sisemi ooh sisemi oooh sisemi Ooh I love you baby yeei
And even though I've never been here before
Somehow I know that this is how it feels to fall in love
Baby you know I love you, I place no one above you, I need you in my life forever …

Say Nanana Lyrics

Image
Huu wimbo ni wako, nilikuandikia But you’re too far away to hear And I wanna whisper in your ear Huu wimbo ni wako, kuja karibu yangu And I’ll hold you close as I sing for you Wewe ni wangu, mimi ni wako If you come closer, I’ll sing for you And if you want me to sing for you say Na Say nanana , say na na if you want me to sing for you say na Say na na na , say na na
Huu wimbo ni wako, nilikuandikia But you’re too far to understand,  you hold the answers in your hand Huu wimbo ni wako, kuja karibu yangu And I’ll hold you close as I sing for you Wewe ni wangu, mimi ni wako If you come closer, Ill sing for you  and if you want me to sing for you Say na, before we kiss say nanana I know ushanimiss When you need me, nanana and I’ll be there.
Nitafanya utabasamu, nitahakikisha unatabasamu Nataka kuona ukitabasamu And if you want me to sing If you want me to sing for you say na, Before we kiss say nanana Najua ushanimiss, when you need me nanana And Ill be there, say na Before we kiss say n…

For You Lyrics by Le Band

Image
Verse 1

When you looked in the mirror,you always cried It didn’t look any clearer,because you were in strife Ulisema hawakujali, eti yu wapi Jalali Machozi yalikutoka, hukujua la kufanya You said it was all wrong, well I’m here to make it right You said you were in fights, well I’m here to fight for life You said you were feeling low, well I’m here to be your high And I just want you to know, one thing you’ve never known I just want you to know, one thing you’ve never known Chorus
When the sun shines, it shines for you When the wind blows, I’ll cover you When you think you’re all alone , know I’m always there for you When the rain drops, I’ll cover you I’ll do it all for you (uuuuuuuuuuuuuuuu) I’ll do it all for you, I’ll do it all for you (uuuuuuuuuuuuuuuu) Verse 2
Niamini na haya mapenzi, leo vitzi kisha kesho Bentley Usiwe na hofu tunajenga kasri, mimi na we, milele na milele Ukitaka nikulinde, I will be your Rambo Ukitaka tubanjuke, we can groove to kanambo Ukisema niruke, how…