Posts

Showing posts from June, 2016

Lyrics To Know You Know by Nyashinski

mmmmhhhhhh mhhhhhhhhh Ah! Huyo 'mfala mgani anaeka ma mng’ari kwa list juu ya ferrari eeh Ana degree au ni journalist tu juu ana list? naskia (naskia) wakiuliza Ule boy wetu alienda wapi amepotea kaa zile mbegu watu walipanda na kanyareeeee eh eh eh na naskia ina semekana ati rap zangu hukam na mkazo na ile utam ya reggae mama ma-ordinary wananikubali na hata watiaji hawaezi kana kwa wale hupenda sauti yangu na iko wale husengenyana mama mama , kijana wako amepotea ni maskio tu ye anatoboa huku ndugu zake wakiendelea mwenyezi pekee anaeza muokoa ki maisha amelegea ingawa hatuoni akitoboa bado twazidi kumuombea amina… Mmmmhhhh! Mhhhhhhh! Yeah! Sionangi haja ya ufisi ( yeah ) sina njaa najua mpishi ( yeah ) sijai fanya kazi ya ofisi ( no ) sijai lala kaa sijadishi ( no) sijarap kitu kaa 'toka 0-6 ivi trust me siezi rust mimi ata niache mziki miaka hamsini nkirudi bado nawacrush nyinyi niko First mi ndani ya party na nguo rasmi imepigwa pasi hapo katika