Senzenina By King Kaka Lyrics

Senzeninaaaa
Senzenina senzenina ×8
Okay, King kaka

Foot prints kando ya bahari nikiskia syphone ya maji.

Vile samaki na boat zina dance, kweli Mungu ana kipaji.
But all good things ziko na mwisho, I think the end ndio huitwanga Kifo.
Ulienda kama worrior, sababu we ndio ungetuwakilisha.

Lini unamaliza quest, ni lini unaitamatisha?

Already kuna ngombe nono, ukirudi tunaichinja.
Maisha sikuhizi inanisakata, wacha vile tulikua tunasakata dimba.

Room yako tumeiwacha the same vile tu ilikua inakaa.
Ile  poster zile  viatu, na tulifold nguo vile ulikua unazipanga.

Ntaangalia na nani sunset? Vile inazama ndani,
kama hurudi itumbukie, na isitoke uko ndani.

Ile pilau tulijaribu kuipika, ... kumbe ni mchele tu!

Sijui nini ilifanyika, mi wakili wako niambie nikutetee tu.
Walisahau jina yako, siku hizi wanakuita  marehemu na the late.

Najua it's not too late kwangu its now kuja tushare na we meal kwa plate,
Macho zangu ziko na layer ya sadness akitoka shule saa zingine husahau
ananiuliza uko wapi Moran, Agnet
Unakumbuka vile nilikua nasema nataka kuenda gym niloose weight
I think the future hufavor the bold
Mchana yangu ndio usiku, usiku yangu ndio mchana.

Ambia Mungu ukam basi, tuone tu sunset pamoja, sunset tu moja
wacha niumie, niumize matumbo nikingoja.

Unakam when niplan,sitaki mabeshte wako wamiss
please,zile genres, unakam when, when tucheze ps?

Tupe signs smoke signal tuma messenger basi, niandikie barua niende posta kesho Ama? Andika kitu kwa sky najua handwriting yako Ama? Niangalie juu lini, usiku au mchana Ama? Usiandike saa zile jua inanidistract si unanijua ama? Si unakumbuka macho zangu hazidu poa na taa
Ama?
Hii ni ndoto ama, nikama nikiamka nitakupata njee ama, ama tu umehama na nalala.
Ama? ama nasleep talk Nikiamka nitakupata, ama? Wanasema kama sina mbona nachagua Ama?
ama umeenda na umeniwachia tu memories...


Ama?


Senzeninaaaa
Senzenina, senzenina ×3

Noreen Crique. ♡♥


 

Also, ya'al comment. Say something. I need to know I'm not just wasting my time.
2 comments

Popular posts from this blog

Amina Lyrics by Sanaipei Tande

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

4Mulla By Naiboi Lyrics