Upendo- Pillars of Faith Lyrics

VERSE 1
Mbona chuki kati ya waumini, wapi upendo upendo ule wa kwanza
Kwa nini sasa tuwe na utengano, ikiwa tumeokolewa kwa neema
Tutaketi japa moja na Mungu, aliye mtoa mwana wake wa pekee
Wapenzi ninawasihi tupendane ikiwa tu watoto wa Mungu *2

CHORUS
Upendo huvumilia haujivunii, haukosi kuwa na adabu
Hautafuti mambo yake kamwe, tena hufurahii udhalimu
Ikiwa tuna upendo tu wake Mungu, wapenzi tutafte upendo *2

VERSE 2
Eeh Mungu wewe ni nguvu yetu ilete baraka kwetu sisi wana wako
Haki yako iwe ni nguvu yetu, uwe faraja yetu hata kwa machungu
Upendo na amani tujazie, undugu uzidi uhasama na kisasi
Mbona majirani tunapigana tufunze upendo tukakumbatiane *2

CHORUS *5
Upendo huvumilia haujivunii, haukosi kuwa na adabu
Hautafuti mambo yake kamwe, tena hufurahii udhalimu

Ikiwa tuna upendo tu wake Mungu, wapenzi tutafte upendo *5

Post a Comment

Popular posts from this blog

Amina Lyrics by Sanaipei Tande

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

4Mulla By Naiboi Lyrics