Chaguo La Moyo- Otile Ft Sanaipei Tande Lyrics

Oh baby nooo

Mi nakuchagua wewe, Wewe uwe wangu
Mume wangu, Baba ya watoto wangu
Kupendwa na wewe majaliwa, kukuoa baraka
Mshikaji wangu wa maisha, Ooh baby I love you
And for you, mi nabadili mienendo yangu baaba
baby for you, mi naukimbia ujana

CHORUS
Nijenge boma nawe, nawe
zae watoto nawe , nawe
Niwalee pamoja nawe, nawe
Nizeeke paamoja nawe, nawe
 Natakaa nijenge boma nawe, nawe
zae watoto nawe , nawe
Niwalee pamoja nawe, nawe
Nizeeke paamoja nawe, nawe
Chaguo la Moyo, Chaguo la moyo

Na kwenye madhabau unavyo ng'aa
Unavyopendeza kwenye hilo rinda
Oh baby I knew you were the one for me
Oh baby you are the one for me

I can tell the way you smile the way you laugh
The way you talk, the way you walk
Baby you are the one for me
I swear you are the one for me

CHORUS
And for you, mi nabadili mienendo yangu mama
Baby for you, mi naukimbia ujana wangu
Nijenge boma nawe, nawe
zae watoto nawe , nawe
Niwalee pamoja nawe, nawe
Nizeeke paamoja nawe, nawe

Nataka nijenge boma nawe, nawe
zae watoto nawe , nawe
Niwalee pamoja nawe, nawe
Nizeeke paamoja nawe, nawe

Chaguo la moyo, chaguo la moyo


Comments

Popular posts from this blog

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

Senzenina By King Kaka Lyrics

Sema Milele Lyrics by Gilad