BENSOUL- N'TALA NAWE LYRICS

Verse 1
Eh mpenzi we, usiwe na mashaka
Ingawa mashida kesho tutatoboa
Nikiwa kwa raha, tufurahi pamoja
Na ninapo  lia we wanipa faraja

Chorus
N'tala nawe n'tala nawe
Kwenye shida ama kwenye furaha dada
N'tala nawe n'tala nawe
Kwenye jua ama kwenye mvua

N'tala nawe n'tala nawe
Kwenye shida ama kwenye furaha dada
N'tala nawe n'tala nawe
Kwenye jua ama kwenye mvua
Kwenye jua ama kwenye mvua

Verse 2
Ona nyota zetu zinavyo meta meta
Na ukitabasamu unapendeza sana
Nikiwa kwa giza umekuwa mwangaza
Tuliopitia umenivumilia

Chorus
N'tala nawe n'tala nawe
Kwenye shida ama kwenye furaha dada
N'tala nawe n'tala nawe
Kwenye jua ama kwenye mvua
N'tala nawe n'tala nawe
Kwenye shida ama kwenye furaha dada
N'tala nawe n'tala nawe
Kwenye jua ama kwenye mvua *2
Kwenye jua ama kwa mvua

 * * *

Nitalala nawe N'tala nawe
Nitalala nawe n'tala nawe
Nitalala nawe n'tala nawe
kwenye jua ama kwenye mvua

Chorus
N'tala nawe n'tala nawe
Kwenye shida ama kwenye furaha dada
N'tala nawe n'tala nawe
Kwenye jua ama kwenye mvua
N'tala nawe n'tala nawe
Kwenye shida ama kwenye furaha dada
N'tala nawe n'tala nawe
Kwenye jua ama kwenye mvua *2
kwenye jua ama kwenye furaha

Comments

Popular posts from this blog

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

Senzenina By King Kaka Lyrics

Sema Milele Lyrics by Gilad