Sauti by Elly Sings and Halisi Lyrics


https://youtu.be/giO3XKAG_4Y  Listen to the Audio HereSauti by Elly Sings and Halisi (Full Version) 

Verse 1: 
Sema jina langu niguse kwenye roho
Niimbie wimbo mimi huyu wako
[Sema jina langu niguse kwenye roho 
Niimbie wimbo mimi huyu wako]

Bridge: 
Sauti nyororo katoa nyoka pangoni
Sauti nyororo kafanya nanoki

Chorus: 
You spin my head round and round, Na sauti yako nyororo x 2
[You spin my head round and round, Na sauti yako nyororo] x 2

Post-Chorus: 
Ukiniambia goodnight, sidhani nitalala
Ukiniambia goodmorning, nitasinzia
Aaaaah [Nitasinzia]
Aaaaah

Verse 2: 
Sauti ya mahaba, yanikunywa haba na haba
Sauti ya mabaha yachanganya jibber jabber, 
Sauti taratibu, ulimwengu ukiniadhibu
Sauti yake wangu, tabibu ndio tibu

Bridge

Chorus

Post-Chorus

Verse 3: 
Nipe mkono wako
Niguse kwayo hamu
Fungua kinywa chako
Nituze tabasamu

Chorus

Ukiniambia goodnight, sidhani nitalala
Ukiniambia goodmorning, nitasinzia
Sema jina langu
Post a Comment

Popular posts from this blog

Amina Lyrics by Sanaipei Tande

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

4Mulla By Naiboi Lyrics