Niambie by Kenzo- Lyrics

Intro

Kenzo ah! 
Matatahiii
Tony alpha (twende kazi)x2
Nimechoka kuchemshia Jirani maji 
moto,nami naoga majibaridi

Verse 1 

(Tumeshinda tukiachana, kurudiana ,unanichanganya
Nimefanya Kila kitu ma, uwe Sawa wa wa wa, unanihepapa) x2

Ninalia Wewe unacheka
Unaniweka mi gizani 
Mahaba yanimaliza 
Ohh My ohh my

Chorus

(Naomba uniambie 
Kama ni vipi niambie 
Usinitoke niambie 
Niambie niambie)x2

Verse 2
Kila siku kunitoka tu, nikiwa online unaenda off.
Nimeenda mpaka dubai
Kila kitu mi nime ba ba buy
Nimechoka kupikia Jirani nami mwenzako ni na lala njaa 

(Ninalia wewe unacheka
Unaniweka mi gizani
Mahaba yanimaliza oh my oh my) X 2

Chorus 
(Naomba uniambie 
Kama ni vipi niambie 
Usinitoke niambie 
Niambie niambie)x2

Verse 3
(Tumeshinda tukiachana, kurudiana ,unanichanganya
Nimefanya Kila kitu ma, uwe Sawa wa wa wa, unanihepapa) x2

Ninalia Wewe unacheka
Unaniweka mi gizani 
Mahaba yanimaliza 
Ohh My ohh my

https://www.youtube.com/watch?v=Kg6Jw_oLpH4 - You can watch the Video Here
Exclusive: Also watch out for 'Aaaai' from Kenzo produced by Jegede of Pacho- That's all the scoop I could get for you guys, but I have a feeling this will be an amazing song. So for now, let us sit tight and wait.

Comments

Popular posts from this blog

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

Senzenina By King Kaka Lyrics

Sema Milele Lyrics by Gilad