Asante By Gilad and Juliani- Lyrics

Intro
Asante kwa chakula, bless the hands
that made this food
Asante kwa chakula, God is good
Asante for the roof above my head
Asante for my Family
Asante for the work that gives me bread
Asante for loving me

Gilad

Asante kwa chakula, Yeah
Like a blessing from above
Asante kwa chakula, God is love
Asante for the sunshine on my face
Asante for every breath I'm taking
Asante for so many moments of Grace
Asante for those who love me

Asanti Mungu, nashukuru, kwani niko huru
Asanti Mungu, nashukuru, kwani niko huru
Nasema asante

Jina lako kwa masikio ya hawakutambui
nikisifu
Cha kusema sijui,
Nikikosa any, nina tele, nikiwa na wewe
Nina kila sababu
Neema yako inaniamsha
si alarm ama kuku si haram ukweli tupu si vegetarian tu, wanajua
Unatosha mboga.
Roho nje ya chest
Nikiwa less, mkono vest unanipa hand
Kushiba shida njaa shida
Naomba nitosheke na ulonipa
nikifunga eyelids nakuona in my dream
Reality na ulicho niahidi
wembe thin
Iwe mkono katikati ya lips
Mfuko kando ya hips
Nikose nipate bado ntaku lift
sifa zote ntakugive

Mungu, Nashukuru
Kwani niko huru, Asante Mungu
Nashukuru, kwani niko huru
Asante kwa chakula. Bless the one who cooked this meal
Asante kwa chakula, God is real God is real
Asante for this blanket on my bed
Asante for all the rain you give me
Asante for the pain that gives me faith
Asante for those who love me

Asanti Mungu, nashukuru, kwani niko huru
Asanti Mungu, nashukuru, kwani niko huru
Nasema asante
Asante for the rain, God is good
God is real, God is love 
Asante kwa chakula, God is good, God is good


Post a Comment

Popular posts from this blog

Amina Lyrics by Sanaipei Tande

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

4Mulla By Naiboi Lyrics