Unikumbushe Lyrics Bahati × Rayvanny

Usiponiona leo kama jana kesho unikumbushe
Sipo kua leo kama jana kesho unikumbushe.
Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe
Sipo kua leo kama jana kesho unikumbushe.
(Nikumbushe, unikumbushe)×2

RAYVANNY
Leo nyota imengaa, nasahau nilikotoka
Naidharau mitaa na mateso niliyosota
Ndugu zangu ni kinyaa, mafukara wananichosha
Niwaache wafe na njaa, nijisifu nitawanyosha
Sili kwetu kisumu bondo chakula haina swagga
Sitaki kula chapo dondo nataka pizza na bugger
Uniepushe maulana nisiishie njiani
Unikumbushe ya jana kesho nipe dhamani
Kwenye maisha ya muziki, ukiwa na upendo utaishi.
Timu hazijengi urafiki tusije kuuana kwa kugombania Viti
Eti nimuwache mama kwenye dhiki
Kisa mambo yangu yametiki
Akipiga simu siishiki, nikipokea nimuone kama shafiki.

CHORUS

Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe
Sipo kua leo kama jana kesho unikumbushe.
Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe
Sipo kua leo kama jana kesho unikumbushe.
(Nikumbushe, unikumbushe) ×2

BAHATI
Nimejawa kiburi, upole haupo na mii
Ulinifunza kadili mama, simuiti mummy
Nimejawa na uhuni, star najiona mii
Nikipita na kagari vumbi natupia wadhii.
Niwe kama Peter kumkana Yesu Mara tatu nikumbushe
Niwe kama Jonah, kukataa kutumwa Nineveh nikumbushe
Mwanabuja Leo nipe suppoti
Namtusi mradi iwe Kiki
Walinipa jina mashabiki Leo nawaona manafiki

Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe
Sipo kua leo kama jana kesho unikumbushe.
Usiponiona leo kama jana kesho unikumbushe
Sipo kua leo kama jana kesho unikumbushe.
(Nikumbushe, unikumbushe)×2

       Also ya'all comment, say something. I need to know I ain't just wasting my time.

2 comments

Popular posts from this blog

Amina Lyrics by Sanaipei Tande

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

4Mulla By Naiboi Lyrics