Muziki Lyrics by Darasa and Ben Pol

Intro

Rudi utotoni, usipotembea kibebwa mgongoni

255 champion boy niite bwana samata

Verse 1
Unaota mapembe uongezee mkia,
Na ukinibeep tu nakupugia,
 let me make one thing clear,
bruh bruh bruh sitaki kusikia.
Sio simba sio chui Sio mamba,
shangwe inatosha kujigamba,
Na sina maneno kwenye kanga
 kazi juu ya kazi yani bamba to bamba.
Sa unawenza kuzaa kizaa kizaa,
sinzia na fegi uchome kibanda
walale uote ndoto zako za kitanda
si bado tuko macho mida ya wanga,
funga mkanda kaza na kamba
Ama ufate yaya uchane msamba,
pasua miamba pasua anga,
tunasemanga chambua kama karanga. .

Chorus
Hee, tosha na muziki, acha maneno weka muziki.
Ukiwa sad, ukiwa hap' ukiwa juu ukiwa chini piga mziki.
Yeeeye, safari na muziki
Acha maneno weka muziki.
Yeeey, Kile unachopenda, na ukitaka kucheza, cheza muziki.
Bambata, shika kamata, rhumba sakata.
Hapo ka mchizi shadata, shadata aaa

Verse 2
Wataka kukimbia na huna break....what do you expect
Bongo, Congo kwa Thabo Mbeki,
cheza lokasa ya mbongo huweskumeki.
Watch yourself usije ukajiconfuse.
Msupa wa kuruka reggae kwenye blues,
kula mchuzi...no excuse .
Maisha yetu ya kila siku kama vile movie.
Vitu vingine havitakagi ujuaji,
utajikuta unatandikia watu jamvi,
kusubiria embe chini ya mnazi.
Kumwelewesha chizi utajipa kazi.
Funga mkanda, kaza na kamba.
 Ama ufate nyayo uchane msamba,
 pasua miamba, pasua anga.
Tunasemanga chambua kama karanga.

Eeh uuuwiiiii

Bishana Muziki, wacha maneno weka muziki
Ukiwa sad, ukiwa hap' ukiwa juu ukiwa chini piga mziki.
Yeeeye, safari na muziki
Acha maneno weka muziki.
Yeeey, Kile unachopenda, na ukitaka kucheza, chez muziki.

Wanatamani tupotee kwenye map, tunapeleka game to the top, hasara toja ,and we don't stop, don't stop and we don't stop
Wanatamani tupotee kwenye map, tunapeleka game to the top,hasara toja and we don't stop, don't stop and we don't stop.

Noreen Crique. 


Also, ya'al comment. Say something. I need to know I'm not just wasting my time.Post a Comment

Popular posts from this blog

Amina Lyrics by Sanaipei Tande

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

4Mulla By Naiboi Lyrics