Mungu Pekee Lyrics By Nyashinski

Sijui Ka ntaona kesho
Ka ningali na uwezo wa kuifanya ntaifanya hadi mwisho
Mwambieni uyo devo, simwogopi shetani, Sir God yuko nami hadi kifo
Ka ntaona kesho, nipe nguvu na uwezo wa kijana na akili za mzee
Daima ni we, Imara wasiniangushe.
Naona saa, kila siku nizawadi toka Maulana
So haja gani ushike tama Mum, Majaribu huisha ooh aae!
Na hata ka, maadui zangu watashikana nao njama siogopi nasimama mum Yakiama yao yaja eeh.
Hio ndio pace nasonga nayo, wanashangaa hakuna stress nakuanga nayo
Naishi ka sina Case mahakamani, Au madeni za majirani niko Fresh njee na ndani, oooh yaae!
Chorus
Naamwogopa Mungu Pekee,
wanadam' kija kuntafash naomba Mungu Ntetee, maneno
yao yasiniumize nfanye sugu wewe.
Wakitry kuntisha naomba nisitetemeke.
I know you love me, know you love me
So I Don't fear Nobody But You
I know you love me know you love me Nisitetemeke ×2
Ah! Siamini joh ju vile naishi life
Ni ngumu kuamini hii si ndoto.
Sijui kesho vile itakaa kwa hivyo leo nitaifanya ka kidogo hua hairidhishi roho
Yani sana, tena sana, Hata wale wananchukia wananiheshimu bruh mi si kodogo
Ah sibabaiki nikiskia mkiongea
Nazidi kuwapa mi kisogo, nakama saa sismami
Staki life iniwache mataani mtaani, mwenyezi nchungie familia yangu na pia, za wale wote sauti yangu wanaiskia
Tupe afya nzuri, na maisha matamu
Barabara zetu zinyooke waone mfalme ni wewe wakupewa shangwe ni wewe, wa kupewa shagwe ni wewe.
Chorus
Naamwogopa Mungu Pekee,
wanadam' kija kuntafash naomba Mungu Ntetee,
Maneno yao yasiniumize nfanye sugu wewe. Wakitry kuntisha naomba nisitetemeke.
I know you love me, know you love me
So I Don't fear Nobody But You
I know you love me know you love me Nisitetemeke ×2
I pray we, me and my people we never die
Say we live forever and forever we multiply.
And wherever we go, ni nini wanaweza nishow hata ka sina kitu uko na mimi kila siku, kila siku, wewe Pekee.
Chorus
Naamwogopa Mungu Pekee,
wanadam' kija kuntafash naomba Mungu Ntetee,
Maneno yao yasiniumize nfanye sugu wewe. Wakitry kuntisha naomba nisitetemeke.
I know you love me, know you love me
So I Don't fear Nobody But You
I know you love me know you love me Nisitetemeke ×2

Noreen Crique. ♡♥Remember to add to the comment section a song whose lyrics you want to be featured.
6 comments

Popular posts from this blog

Amina Lyrics by Sanaipei Tande

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

4Mulla By Naiboi Lyrics