Lyrics To Know You Know by Nyashinski

mmmmhhhhhh mhhhhhhhhh
Ah!
Huyo 'mfala mgani anaeka ma mng’ari kwa list juu ya ferrari eeh
Ana degree au ni journalist tu juu ana list? naskia (naskia) wakiuliza
Ule boy wetu alienda wapi amepotea kaa zile mbegu watu
walipanda na kanyareeeee eh eh eh
na naskia ina semekana ati rap zangu hukam na mkazo na ile utam ya reggae mama ma-ordinary wananikubali na hata watiaji hawaezi kana
kwa wale hupenda sauti yangu na iko wale husengenyana mama mama ,
kijana wako amepotea ni maskio tu ye anatoboa huku ndugu
zake wakiendelea mwenyezi pekee anaeza muokoa ki maisha amelegea
ingawa hatuoni akitoboa bado twazidi kumuombea amina…
Mmmmhhhh! Mhhhhhhh!
Yeah!
Sionangi haja ya ufisi (yeah )
sina njaa najua mpishi (yeah )
sijai fanya kazi ya ofisi ( no )
sijai lala kaa sijadishi (no)
sijarap kitu kaa 'toka 0-6 ivi trust me
siezi rust mimi
ata niache mziki miaka hamsini
nkirudi bado nawacrush nyinyi
niko First mi ndani ya party
na nguo rasmi imepigwa pasi
hapo katikati
Napiga mic check juu niko party na niko night shift…
nlikua busy sikua najificha clearly you rappers missed your teacher vitu mnaandika zinachoma picha nkiwish singewacha kuwafundisha sauti naskia ni….
don’t waste your time wishing you’re too proud my baby too proud to
wish they had an easy way out let times get tough so they remember
you are a blessing when life is good they will forget to sayyy
uuuuhhhh mmmmhhhhhh mhhhhhhhhh heeeyyyyy
naulizwa mbona nliacha mziki,ati nlikua mkali juu ya mic na namisiwa na mashabiki,
nliacha game mapema hata kabla reffa hajapiga firimbi, bila kwaheri ati walishtukia
tu ati kuna klepto mmoja haimbi samahani nimepotea
shukrani kwa wale wamenifkiria
hizo miaka zote nmekua missing lakini iko kitu hamjaniambia kaa ningebaki bado
ungekua na taki ya kuskia nikiwaimbia ama by saiii mngekua mnanifanya vile mnafanya ma pioneer story kwa media ati nimechapa niko juu ya madawa nahangaika
show ni ule jamaa aliimbaa ‘Ada Ada’ebukam u curtain raisie mnaija its not that serious
rap ni hobby bila mziki bado namanga ingekua career si ngekua nalia kuskia ati Naija Night Nairobi ambia new comer asijifeel sana we ni mgeni siku ya kwanza tunakupenda (tunakupenda)
ukikaa kaa tutachoka na wewe ivo ndio ku uenda (ivo ndio ku enda)
mi ni ule mgeni alikaa siku mbili tu skukaa' siku mingi nkuachie nafasi ya kuchoka na mimi
so now you knowwwwwww
shinsky
so now you knowwwwwww
beat ya keggah
so now you knowwwwwww
heeeyyyyy
mhhhhhhhhh heeeyyyy
uuuuuuhhhhhhhhhhhh

Comments

Popular posts from this blog

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

Senzenina By King Kaka Lyrics

Sema Milele Lyrics by Gilad