Muziki Lyrics by Darasa and Ben Pol
 
Intro   Rudi utotoni, usipotembea kibebwa mgongoni   255 champion boy niite bwana samata   Verse 1  Unaota mapembe uongezee mkia,  Na ukinibeep tu nakupugia,   let me make one thing clear,  bruh bruh bruh sitaki kusikia.  Sio simba sio chui Sio mamba,  shangwe inatosha kujigamba,  Na sina maneno kwenye  kanga   kazi juu ya kazi yani bamba to bamba.  Sa unawenza kuzaa kizaa kizaa,  sinzia na fegi uchome kibanda  walale uote ndoto zako za kitanda  si bado tuko macho mida ya wanga,  funga mkanda kaza na kamba  Ama ufate yaya uchane msamba,  pasua miamba pasua anga,  tunasemanga chambua kama karanga. .   Chorus  Hee, tosha na muziki, acha maneno weka muziki.  Ukiwa sad, ukiwa hap' ukiwa juu ukiwa chini piga mziki.  Yeeeye, safari na muziki  Acha maneno weka muziki.  Yeeey, Kile unachopenda, na ukitaka kucheza, cheza muziki.  Bambata, shika kamata, rhumba sakata.  Hapo ka mchizi shadata, shadata aaa   Verse 2  Wataka kukimbia na huna break....what do you expect  Bongo, Congo kwa Th...
