Brian Nadra ft Bon'Eye and Konkodi - Bonge Lyrics
 
 Brian Nadra   Hood boy yani boy wa mtaa   Juu tu sana yeah you know I'm a star   Drinks on me, we gon buy the whole bar   Fukuza hii baridi na ka fry siko njaa   Ah, ndio wanashangaa, bro nini hio umevaa   Swagga balaa, nikishika mic pale madem wana swalalala   Swalalalala swalalala, ha ha ha swalalalala   And I'm only getting started, crazy not retarded   Groupies show me love DMs are bombarded   Anytime you see me ill be fresh off the oven   Yani hot cake got the looks from my daddy   Phobia yangi ni kufa msoto   so imma go hard kama punch ya kushoto    Bonge Bonge   Ongeza hewa usinyonge   Bonge Bonge, tunawapa mavidonge   Bonge Bonge   Ongeza hewa usinyonge   Bonge Bonge, tunawapa mavidonge   Boneye    Ni yule headmaster karibu darasa   Leta nyokonyoko nyahunyo nachapa   Rarua hizi tracki hadi zina**   Chafua meza munachanga   Sina pesa kwa kibeti zote kwenye benki mula in plenty   Funga biashara kama haileti   Ka salo kako kwangu ni ka petty   Ni yule boy, wa Kangemi, uli...