Unikumbushe Lyrics Bahati × Rayvanny
 
 Usiponiona leo kama jana kesho unikumbushe  Sipo kua leo kama jana kesho unikumbushe.  Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe  Sipo kua leo kama jana kesho unikumbushe.  (Nikumbushe, unikumbushe)×2     RAYVANNY   Leo nyota imengaa, nasahau nilikotoka  Naidharau mitaa na mateso niliyosota  Ndugu zangu ni kinyaa, mafukara wananichosha  Niwaache wafe na njaa, nijisifu nitawanyosha  Sili kwetu kisumu bondo chakula haina swagga  Sitaki kula chapo dondo nataka pizza na bugger   Uniepushe maulana nisiishie njiani  Unikumbushe ya jana kesho nipe dhamani  Kwenye maisha ya muziki, ukiwa na upendo utaishi.  Timu hazijengi urafiki tusije kuuana kwa kugombania Viti  Eti nimuwache mama kwenye dhiki  Kisa mambo yangu yametiki  Akipiga simu siishiki, nikipokea nimuone kama shafiki.     CHORUS     Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe  Sipo kua leo kama jana kesho unikumbushe.  Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe  Sipo kua leo kama jana kesho unikumbushe.  (Nikumbushe, unikumbushe) ×2    ...