Lyrics To Know You Know by Nyashinski
 mmmmhhhhhh mhhhhhhhhh  Ah!  Huyo 'mfala mgani anaeka ma mng’ari kwa list juu ya ferrari eeh   Ana degree au ni journalist tu juu ana list? naskia (naskia) wakiuliza  Ule boy wetu alienda wapi amepotea kaa zile mbegu watu  walipanda na kanyareeeee eh eh eh   na naskia ina semekana ati rap zangu hukam na mkazo na ile utam ya reggae mama ma-ordinary wananikubali na hata watiaji hawaezi kana  kwa wale hupenda sauti yangu na iko wale husengenyana mama mama ,  kijana wako amepotea ni maskio tu ye anatoboa huku ndugu  zake wakiendelea mwenyezi pekee anaeza muokoa ki maisha amelegea  ingawa hatuoni akitoboa bado twazidi kumuombea amina…   Mmmmhhhh! Mhhhhhhh!  Yeah!  Sionangi haja ya ufisi ( yeah )  sina njaa najua mpishi ( yeah )  sijai fanya kazi ya ofisi (  no )  sijai lala kaa sijadishi ( no)  sijarap kitu kaa 'toka 0-6 ivi trust me  siezi rust mimi  ata niache mziki miaka hamsini  nkirudi bado nawacrush nyinyi  niko First mi ndani ya party  na nguo rasmi imepigwa pasi  hapo katik...