Nikurejeshee Lyrics- Neema Gospel Choir
 
  Nasikia kuitwa na sauti yake  Anasema, njoo kwangu nikurejeshee  Yaliyoibiwa, yaliyochukuliwa na mwovu  Anasema Njoo kwangu nikurejeshee  Nasikia kuitwa na sauti yake  Anasema, njoo kwangu nikurejeshee  Yaliyoibiwa, yaliyochukuliwa na mwovu  Anasema Njoo kwangu nikurejeshee  Nasikia kuitwa na sauti yake  Anasema, njoo kwangu nikurejeshee  Yaliyoibiwa, yaliyochukuliwa na mwovu  Anasema Njoo kwangu nikurejeshee  Nasikia kuitwa na sauti yake  Anasema, njoo kwangu nikurejeshee  Yaliyoibiwa, yaliyochukuliwa na mwovu  Anasema Njoo kwangu nikurejeshee  Chorus  Nikurejeshee Nikurejeshee  Anasema Njoo kwangu nikurejeshee  Nikurejeshee Nikurejeshee  Anasema Njoo kwangu nikurejeshee  Nikurejeshee Nikurejeshee  Anasema Njoo kwangu nikurejeshee  Nikurejeshee Nikurejeshee  Anasema Njoo kwangu nikurejeshee  Verse 2  Amani ya moyo iliyotoweka  Usiitafute pengine kwake Yesu utaipata  Furaha ya kweli iliyotoweka  Usiitafute pengine kwake Yesu utaipata  Amani ya moyo iliyotoweka  Usiitafute pengine...