USISEME NO LYRICS - H_ART THE BAND
 
 Msupa karibu, keti chini Nimekawia kukuona  Oh kukuona  Sibambiki vile siku hizi kuna vile umekua ukinitoka  Ukinitoka  Ukiniona mtaani vichochoroni wewe huyo unapiga kona  Unapiga kona  Nieleze kama ni napenda ama ni ukweli ninavoskia eti umechoka  Oh umechoka   Na kile unataka mi nitadu ili niwe nawe kila siku mapenzi tele mchana na usiku  , usiku,  usiku  Na kile unataka mi nitadu beibe ili niwe nawe kila siku mapenzi tele mchana na usiku usikuu usikuu  Eeeeh   Natamani tukue poa, nieleze kama nimenoa  Ili kwako niweze rejea,  usiseme no no no  Natamani tukue poa, nieleze kama nimenoa  Ili kwako niweze rejea,  usiseme no no no   No no, usiseme no, Nooooou  No no, usiseme no, Nooooou  No no, usiseme no, Nooooou  No no, usiseme no, Nooooou   Usiseme no ooh noooh   Unanistalk Instagram unanihate si the same  Mama mboga anashangaa kwani niliwacha kuja kukopa mboga  Mabeshte wanakuulizia nashindwa vile nitawaelezea kule wewe ulikopotelea potelea potelea  Mabeshte wanakuuli...