Posts

ELOHIM- AIC CHANG'OMBE CHOIR LYRICS

Image
Asante ELOHIM  Wewe Ni MUNGU Unaetenda  Asante ELOHIM  Wewe Ni MUNGU  Ni Mungu ( Unaetenda) Tumetembea na wewe Toka mwanzo uko pamoja nasi  Hapa Tulipo Ni kwanguvu Zako (Asante ELOHIM) Ulitangulia Mbele  Bila wewe Tusingeweza Hapa Tulipo Ni kwanguvu Zako ( Asante ELOHIM) Mabaya Yaliinuka  Lakini hayakutupata  Ulitutetea, Ulitushindia ( Asante ELOHIM) Ndio Maana Tunakusifu  Umetenda Makuu Kwetu  Umetutetea,Umetushindia  (Asante ELOHIM) Tunashukuru Ee Baba (Asante ELOHIM ) Mkono Wako Umetubeba(Asante ELOHIM)

LYRICS Chukua Usukani (Nakuhitaji Messiah) - Nyasha Ngoloma LYRICS

Image
  VERSE 1 Eeh Bwana wewe ni ngome yangu Pia mwamba wa wokovu wangu Nisimamishe Juu ya neno lako Niangazie uso wako CHORUS Nakuhitaji Messiah, Nakuhitaji Siwezi bila we, chukua usukani VERSE 2 Nina imani wewe waweza yote Mipango mema siku zote Nikiogopa baba nikumbushe Hutaniacha nipotee  Hutaniacha niangamie Hutaniacha niaibike CHORUS Nakuhitaji Messiah, Nakuhitaji Siwezi bila we, chukua usukani Nakuhitaji Messiah, Nakuhitaji Siwezi bila we, chukua usukani Nakuhitaji Messiah, Nakuhitaji Siwezi bila we, chukua usukani Nakuhitaji Messiah, Nakuhitaji Siwezi bila we, chukua usukani BRIDGE Nakuhitaji Bwana Nakuhitaji Bwana we Siwezi bila we, chukua usukani Mikono nainua sasa nanyenyekea Eeeh Siwezi bila we, chukua usukani Kufanikiwa kwangu kunakutegemea weeh Siwezi bila we, chukua usukani Kusimama kwa wokovu kunakutegemea wewe Bwana Siwezi bila we, chukua usukani Nakuhitaji Bwana Nakuhitaji Bwana we Siwezi bila we, chukua usukani Mikono ninainua na magoti ninapiga Bwana Siwezi bila...

LYRICS Damu (Sasa Tumepewa Nguvu) - Nyasha Ngoloma Feat. Mary Monari & Dan Mugo LYRICS

Image
 Damu (Sasa tumepewa nguvu)   Verse 1 Si rahisi mtu kufa kwa ajili ya mwenzake Bali Kristo kwetu kaonyesha upendo wake Alisulibiwa kwa ajili ya mimi na wewe Ili dhambi tusamehewe na tuokolewe  Chorus Sasa tumepewa nguvu kwa hiyo damu ya kondoo Tu wasafi na tupo huru twatawala na Kristo Sasa tumepewa nguvu kwa hiyo damu ya kondoo Tu wasafi na tupo huru twatawala na Kristo Verse 2 Walimsulubisha wakagawa mavazi yake Wakayapigia kura kila mtu na yake Bali Kristo kwetu kaonyesha upendo wake Ili dhambi tusamehewe na tuokolewe Chorus Sasa tumepewa nguvu kwa hiyo damu ya kondoo Tu wasafi na tupo huru twatawala na Kristo Sasa tumepewa nguvu kwa hiyo damu ya kondoo Tu wasafi na tupo huru twatawala na Kristo Verse 3 Nalo giza lilitanda juu ya nchi yote  Pazia la hekalu likapasuka vipande Ukweli kudhibitika mkombozi ni yeye Messiah kafufuka hallelujah, mshindi milele Chorus Sasa tumepewa nguvu kwa hiyo damu ya kondoo Tu wasafi na tupo huru twatawala na Kristo Sasa tumepewa nguv...

Nikurejeshee Lyrics- Neema Gospel Choir

Image
  Nasikia kuitwa na sauti yake Anasema, njoo kwangu nikurejeshee Yaliyoibiwa, yaliyochukuliwa na mwovu Anasema Njoo kwangu nikurejeshee Nasikia kuitwa na sauti yake Anasema, njoo kwangu nikurejeshee Yaliyoibiwa, yaliyochukuliwa na mwovu Anasema Njoo kwangu nikurejeshee Nasikia kuitwa na sauti yake Anasema, njoo kwangu nikurejeshee Yaliyoibiwa, yaliyochukuliwa na mwovu Anasema Njoo kwangu nikurejeshee Nasikia kuitwa na sauti yake Anasema, njoo kwangu nikurejeshee Yaliyoibiwa, yaliyochukuliwa na mwovu Anasema Njoo kwangu nikurejeshee Chorus Nikurejeshee Nikurejeshee Anasema Njoo kwangu nikurejeshee Nikurejeshee Nikurejeshee Anasema Njoo kwangu nikurejeshee Nikurejeshee Nikurejeshee Anasema Njoo kwangu nikurejeshee Nikurejeshee Nikurejeshee Anasema Njoo kwangu nikurejeshee Verse 2 Amani ya moyo iliyotoweka Usiitafute pengine kwake Yesu utaipata Furaha ya kweli iliyotoweka Usiitafute pengine kwake Yesu utaipata Amani ya moyo iliyotoweka Usiitafute pengine...

Mtakatifu Lyrics- Isaac Wangai x Pitson

Image
 Mtakatifu ni wewe, Mwaminifu ni wewe Mwema ni wewe, (hakuna) mwingine kama wewe  Mtakatifu ni wewe, Mwaminifu ni wewe Mwema ni wewe, (hakuna) mwingine kama wewe  Utukufu wakuzingira, Malaika waabudu Wasujudu mbele zako, wakisema kwamba wewe, wewe ndiwe Mungu X2 Mtakatifu ni wewe, Mwaminifu ni wewe Mwema ni wewe, (hakuna) mwingine kama wewe  Uwepo wako nafurahia, wimbo nakuimbia Nasjudu mbele zako nikisema kwamba wewe, wewe ndiwe Mungu X2 Mtakatifu ni wewe, Mwaminifu ni wewe Mwema ni wewe, (hakuna) mwingine kama wewe  _Bridge_ Umestahili ewe Bwana Mungu wetu Kupokea utukufu, heshima na uweza, milele na milele X4 Mtakatifu ni wewe, Mwaminifu ni wewe Mwema ni wewe, (hakuna) mwingine kama wewe  Mwingine kama wewe, mwingine kama wewe  Mwingine kama wewe, milele na milele X2

Neema Yako Lyrics - Rehema Simfukwe

Image
 Haya ni maombi yangu kwako, wote ninaowapenda wasipitwe na neema yako.  Basi ikiwa ipo ahadi, ya kuingia rahani mwako sitaki kukosa na niwapendao. X2 Funua neema yako, familia yangu ikujue Funua neema yako mataifa yote yakujue Haya ni maombi yangu kwako, wote ninaowapenda wasipitwe na neema yako.  Basi ikiwa ipo ahadi, ya kuingia rahani mwako sitaki kukosa na niwapendao. X2 Funua neema yako, familia yangu ikujue Funua neema yako mataifa yote yakujue Neema yako (Tusipitwe na) Neema Yako X4 <Intercession> Funua neema yako, familia yangu ikujue Funua neema yako mataifa yote yakujue Neema Yako

JOSH CLEOPA NIPONYE NA MIMI- LYRICS

Image
 Niponye na mimi Niponye na mimi Niponye na mimi Lord I am hunted ×2 Vile anipendavyo baba Hata nikosee vipi Pendo lake halibadiliki kwangu Vivyo ilivyo zaidi Kwa baba wa mbinguni Matendo yangu yasiwe rugha kwako Usipime upendo wangu Kwa udhaifu wangu Mi mwanadamu kasoro utapata tu Kidonda kitoapo funza, Baba usinikatae Nikumbatie, uwe pumziko langu Niponye na mimi Niponye na mimi Niponye na mimi Lord I am hunted ×2 Neema hii sio chanzo Cha mimi kukosea Baba yangu hili nakiri kwako Maana moyo wangu huradhi Kufwata neno lako Ila mwili wangu umekua kikwazo kwangu Pale ninapoteleza Baba uniinue Ninaposhindwa baba nisaidie Oh Yesu je wajua nakupenda? Oh kweli baba, mimi nakupenda  Oh Yesu je wajua nakupenda? Kweli baba, mimi nakupenda Usipime upendo wangu Kwa udhaifu wangu Mi mwanadamu kasoro utapata tu ×2 Niponye na mimi Niponye na mimi Niponye na mimi Lord I am hunted Niponye na mimi (Mimi mdhaifu) Niponye na mimi (Mimi mwenye kiburi) Niponye na mimi Lord I am hunted...