Nikurejeshee Lyrics- Neema Gospel Choir
Nasikia kuitwa na sauti yake
Anasema, njoo kwangu nikurejesheeYaliyoibiwa, yaliyochukuliwa na mwovu
Anasema Njoo kwangu nikurejeshee
Nasikia kuitwa na sauti yake
Anasema, njoo kwangu nikurejeshee
Yaliyoibiwa, yaliyochukuliwa na mwovu
Anasema Njoo kwangu nikurejeshee
Nasikia kuitwa na sauti yake
Anasema, njoo kwangu nikurejeshee
Yaliyoibiwa, yaliyochukuliwa na mwovu
Anasema Njoo kwangu nikurejeshee
Nasikia kuitwa na sauti yake
Anasema, njoo kwangu nikurejeshee
Yaliyoibiwa, yaliyochukuliwa na mwovu
Anasema Njoo kwangu nikurejeshee
Chorus
Nikurejeshee Nikurejeshee
Anasema Njoo kwangu nikurejeshee
Nikurejeshee Nikurejeshee
Anasema Njoo kwangu nikurejeshee
Nikurejeshee Nikurejeshee
Anasema Njoo kwangu nikurejeshee
Nikurejeshee Nikurejeshee
Anasema Njoo kwangu nikurejeshee
Verse 2
Amani ya moyo iliyotoweka
Usiitafute pengine kwake Yesu utaipata
Furaha ya kweli iliyotoweka
Usiitafute pengine kwake Yesu utaipata
Amani ya moyo iliyotoweka
Usiitafute pengine kwake Yesu utaipata
Furaha ya kweli iliyotoweka
Usiitafute pengine kwake Yesu utaipata
Ndipo hayo mema yatakujilia
Atarejesha vyote adui alivochukua
Ndipo hayo mema, yatakujilia
Atarejesha amani ya moyo na furaha iliyopotea
Ndipo hayo mema yatakujilia
Atarejesha vyote adui alivochukua
Ndipo hayo mema, yatakujilia
Atarejesha amani ya moyo na furaha iliyopotea
Chorus
Nikurejeshee Nikurejeshee
Anasema Njoo kwangu nikurejeshee ×4
Break
Chorus
Nikurejeshee Nikurejeshee
Anasema Njoo kwangu nikurejeshee ×4
Chorus
Nikurejeshee Nikurejeshee
Anasema Njoo kwangu nikurejeshee ×4
Comments