LYRICS Chukua Usukani (Nakuhitaji Messiah) - Nyasha Ngoloma LYRICS
VERSE 1
Eeh Bwana wewe ni ngome yangu
Pia mwamba wa wokovu wangu
Nisimamishe Juu ya neno lako
Niangazie uso wako
CHORUS
Nakuhitaji Messiah, Nakuhitaji
Siwezi bila we, chukua usukani
VERSE 2
Nina imani wewe waweza yote
Mipango mema siku zote
Nikiogopa baba nikumbushe
Hutaniacha nipotee
Hutaniacha niangamie
Hutaniacha niaibike
CHORUS
Nakuhitaji Messiah, Nakuhitaji
Siwezi bila we, chukua usukani
Nakuhitaji Messiah, Nakuhitaji
Siwezi bila we, chukua usukani
Nakuhitaji Messiah, Nakuhitaji
Siwezi bila we, chukua usukani
Nakuhitaji Messiah, Nakuhitaji
Siwezi bila we, chukua usukani
BRIDGE
Nakuhitaji Bwana Nakuhitaji Bwana we
Siwezi bila we, chukua usukani
Mikono nainua sasa nanyenyekea Eeeh
Siwezi bila we, chukua usukani
Kufanikiwa kwangu kunakutegemea weeh
Siwezi bila we, chukua usukani
Kusimama kwa wokovu kunakutegemea wewe Bwana
Siwezi bila we, chukua usukani
Nakuhitaji Bwana Nakuhitaji Bwana we
Siwezi bila we, chukua usukani
Mikono ninainua na magoti ninapiga Bwana
Siwezi bila we, chukua usukani
Kufanikiwa kwangu kunakutegemea Bwana
Siwezi bila we, chukua usukani
Ni mwana mpotevu nimepata fahamu Bwana
Siwezi bila we, chukua usukani
CHORUS
Nakuhitaji Messiah, Nakuhitaji
Siwezi bila we, chukua usukani
Nakuhitaji Messiah, Nakuhitaji
Siwezi bila we, chukua usukani
Nakuhitaji Messiah, Nakuhitaji
Siwezi bila we, chukua usukani
Nakuhitaji Messiah, Nakuhitaji
Siwezi bila we, chukua usukani
conc
Nakuhitaji Bwana Nakuhitaji Bwana we
Siwezi bila we, chukua usukani
Mikono nainua, magoti napiga Bwana
Siwezi bila we, chukua usukani
Kufanikiwa kwangu kunakutegemea Bwana
Siwezi bila we, chukua usukani
Kusimama kwa wokovu kunakutegemea Bwana
Siwezi bila we, chukua usukani
Hata ndoa zetu Bwana zinakutegemea Bwana
Siwezi bila we, chukua usukani
-- -- -- --
Ni mwana mpotevu nimepata fahamu leo
Siwezi bila we, chukua usukani
Comments