Mtakatifu Lyrics- Isaac Wangai x Pitson
Mtakatifu ni wewe, Mwaminifu ni wewe
Mwema ni wewe, (hakuna) mwingine kama wewe
Mtakatifu ni wewe, Mwaminifu ni wewe
Mwema ni wewe, (hakuna) mwingine kama wewe
Utukufu wakuzingira, Malaika waabudu
Wasujudu mbele zako, wakisema kwamba wewe, wewe ndiwe Mungu X2
Mtakatifu ni wewe, Mwaminifu ni wewe
Mwema ni wewe, (hakuna) mwingine kama wewe
Uwepo wako nafurahia, wimbo nakuimbia
Nasjudu mbele zako nikisema kwamba wewe, wewe ndiwe Mungu X2
Mtakatifu ni wewe, Mwaminifu ni wewe
Mwema ni wewe, (hakuna) mwingine kama wewe
_Bridge_
Umestahili ewe Bwana Mungu wetu
Kupokea utukufu, heshima na uweza, milele na milele X4
Mtakatifu ni wewe, Mwaminifu ni wewe
Mwema ni wewe, (hakuna) mwingine kama wewe
Mwingine kama wewe, mwingine kama wewe
Mwingine kama wewe, milele na milele X2
Comments