DONJO MABER LYRICS- IYANII X DUFLA
Ikibamba sana basi pull it up
Selekta cheza doba once from the top
Whoa
Donjo Maber donjo
Donjo maber, donjo maber
Chunisha speaker we mash it up
Fire we light it up
Donjo Maber donjo
Donjo maber, donjo maber
Tuko tao CBD kwa penthouse
Wanadhani si bidii ni guesswork
Lakini juu ya bidii tunazoza
Na ni magrammy tu ndio tunangoja
Donjo maber, kwa mdomo ni kuber
Na doba jua ni mwaki ukipenda imeliel
Napendwa na mapeng
Na wote jo ni 10
Nikikusalimia unanijibu tu maber
Napenda, napenda vile magala wamekuja wamebeba
Napenda, napenda vile mamanzi wamekuja wameiva
Aah
Ikibamba sana basi pull it up
Selekta cheza doba once from the top
Whoa
Donjo Maber donjo
Donjo maber, donjo maber
Chunisha speaker we mash it up
Fire we light it up
Donjo Maber donjo
Donjo maber, donjo maber
Dufla
Makwela na machaji wanazitoka
Starehe hubamba sana baada ya mboka
Masanse watiaji tutawatoka
Salamu huanga moja na ni topshota
Bado originali, Dufla huanga mkali
Ninazunguka town mpaka mashinani
Colabo na Iyani anthem mtaani
Wakiuliza waambie tuko CBD ndani
Napenda, napenda vile madem wamekuja wamebeba
Napenda, napenda vile makwela wamekuja wameiva
Aah
Ikibamba sana basi pull it up
Selekta cheza doba once from the top
Whoa
Donjo Maber donjo
Donjo maber, donjo maber
Chunisha speaker we mash it up
Fire we light it up
Donjo Maber donjo
Donjo maber, donjo maber

Comments