ELOHIM- AIC CHANG'OMBE CHOIR LYRICS
Asante ELOHIM
Wewe Ni MUNGU Unaetenda
Asante ELOHIM
Wewe Ni MUNGU
Ni Mungu ( Unaetenda)
Tumetembea na wewe
Toka mwanzo uko pamoja nasi
Hapa Tulipo Ni kwanguvu Zako (Asante ELOHIM)
Ulitangulia Mbele
Bila wewe Tusingeweza
Hapa Tulipo Ni kwanguvu Zako
( Asante ELOHIM)
Mabaya Yaliinuka
Lakini hayakutupata
Ulitutetea, Ulitushindia
( Asante ELOHIM)
Ndio Maana Tunakusifu
Umetenda Makuu Kwetu
Umetutetea,Umetushindia
(Asante ELOHIM)
Tunashukuru Ee Baba (Asante ELOHIM )
Mkono Wako Umetubeba(Asante ELOHIM)
Comments