LYRICS Damu (Sasa Tumepewa Nguvu) - Nyasha Ngoloma Feat. Mary Monari & Dan Mugo LYRICS
Damu (Sasa tumepewa nguvu)
Verse 1
Si rahisi mtu kufa kwa ajili ya mwenzake
Bali Kristo kwetu kaonyesha upendo wake
Alisulibiwa kwa ajili ya mimi na wewe
Ili dhambi tusamehewe na tuokolewe
Chorus
Sasa tumepewa nguvu kwa hiyo damu ya kondoo
Tu wasafi na tupo huru twatawala na Kristo

Verse 2
Walimsulubisha wakagawa mavazi yake
Wakayapigia kura kila mtu na yake
Bali Kristo kwetu kaonyesha upendo wake
Ili dhambi tusamehewe na tuokolewe
Chorus
Sasa tumepewa nguvu kwa hiyo damu ya kondoo
Tu wasafi na tupo huru twatawala na Kristo
Sasa tumepewa nguvu kwa hiyo damu ya kondoo
Tu wasafi na tupo huru twatawala na Kristo
Verse 3
Nalo giza lilitanda juu ya nchi yote
Pazia la hekalu likapasuka vipande
Ukweli kudhibitika mkombozi ni yeye
Messiah kafufuka hallelujah, mshindi milele
Chorus
Sasa tumepewa nguvu kwa hiyo damu ya kondoo
Tu wasafi na tupo huru twatawala na Kristo
Sasa tumepewa nguvu kwa hiyo damu ya kondoo
Tu wasafi na tupo huru twatawala na Kristo
Bridge
Hallelujah Hallelujah
Nimeoshwa kabisa
Hallelujah Hallelujah
Ni damu ya Messiah x4

Comments