JOSH CLEOPA NIPONYE NA MIMI- LYRICS
Niponye na mimi
Niponye na mimi
Niponye na mimi
Lord I am hunted ×2
Vile anipendavyo baba
Hata nikosee vipi
Pendo lake halibadiliki kwangu
Vivyo ilivyo zaidi
Kwa baba wa mbinguni
Matendo yangu yasiwe rugha kwako
Usipime upendo wangu
Kwa udhaifu wangu
Mi mwanadamu kasoro utapata tu
Kidonda kitoapo funza, Baba usinikatae
Nikumbatie, uwe pumziko langu
Niponye na mimi
Niponye na mimi
Niponye na mimi
Lord I am hunted ×2
Neema hii sio chanzo
Cha mimi kukosea
Baba yangu hili nakiri kwako
Maana moyo wangu huradhi
Kufwata neno lako
Ila mwili wangu umekua kikwazo kwangu
Pale ninapoteleza
Baba uniinue
Ninaposhindwa baba nisaidie
Oh Yesu je wajua nakupenda?
Oh kweli baba, mimi nakupenda
Oh Yesu je wajua nakupenda?
Kweli baba, mimi nakupenda
Usipime upendo wangu
Kwa udhaifu wangu
Mi mwanadamu kasoro utapata tu ×2
Niponye na mimi
Niponye na mimi
Niponye na mimi
Lord I am hunted
Niponye na mimi
(Mimi mdhaifu)
Niponye na mimi
(Mimi mwenye kiburi)
Niponye na mimi
Lord I am hunted
Niponye na mimi
(Nakuomba bwana)
Niponye na mimi
Niponye na mimi
Lord I am hunted ×3
https://www.youtube.com/watch?v=d0dqR1YxuC0 - JOSH CLEOPA NIPONYE NA MIMI
Comments