EL SHADDAI LYRICS by H_ART THE BAND

El Shaddai, Uko na kile mi nadai
Ulinipenda hata kama mi sifai
El Shaddai El Shaddai El Shaddai

El Shaddai, Uko na kile mi nadai
Ulinipenda hata kama mi sifai
El Shaddai El Shadda El Shaddai

1. Dex
He is an awesome God, amenipa such an awesome song
And I'm never lonely, amenipa such an awesome love
He is an awesome God, and I wanna tell it to the world
Ili wajue ni wewe, kama si wewe basi nani

Nasikia landlord ako kwa njia anataka kodi ( ni wewe utaprovide)
Na nina ngori moyoni zinanijaza worry
(Ila nitakua fine)
El Shaddai, Uko na kile mi nadai
Ulinipenda hata kama mi sifai
El Shaddai El Shaddai El Shaddai ×2

2. Kenchez

Mmh, and everyday, everyday is an awesome day
Na vile unanibariki, hata mimi sielewi
Everyday everyday, you come in an awesome way
Kwenye dhiki nimepata rafiki, rafiki wa kweli

Na kuna kaloan mahali kananijaza worry, niwewe utaprovide
Nina mahari natamani kulipia mpenzi sote tutakua fine
Na madakitari wanasema hali sio hali, wewe unajua time
Nahisi nguvu zako kwangu, I will call you El shaddai

El Shaddai, Uko na kile mi nadai
Ulinipenda hata kama mi sifai
El Shaddai El Shaddai El Shaddai ×2

3. Chira

Dear Lord, grant me the serenity to accept the things I cannot change, the courage to change the things I know I can, and the wisdom to know the difference

El Shaddai, Uko na kile mi nadai
Ulinipenda hata kama mi sifai
El Shaddai El Shaddai El Shaddai

Uko na kile mi nadai
Ulinipenda hata kama mi sifai
El Shaddai El Shaddai El Shaddai

Uko na kile mi nadai
Ulinipenda hata kama mi sifai
El Shaddai El Shaddai El Shaddai

Uko na kile mi nadai
Ulinipenda hata kama mi sifai
El Shaddai El Shaddai El Shaddai



Comments

Popular posts from this blog

Mtakatifu Lyrics- Isaac Wangai x Pitson

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

Senzenina By King Kaka Lyrics