USISEME NO LYRICS - H_ART THE BAND

Msupa karibu, keti chini Nimekawia kukuona
Oh kukuona
Sibambiki vile siku hizi kuna vile umekua ukinitoka
Ukinitoka
Ukiniona mtaani vichochoroni wewe huyo unapiga kona
Unapiga kona
Nieleze kama ni napenda ama ni ukweli ninavoskia eti umechoka
Oh umechoka
Na kile unataka mi nitadu ili niwe nawe kila siku mapenzi tele mchana na usiku , usiku,  usiku
Na kile unataka mi nitadu beibe ili niwe nawe kila siku mapenzi tele mchana na usiku usikuu usikuu
Eeeeh
Natamani tukue poa, nieleze kama nimenoa
Ili kwako niweze rejea,  usiseme no no no
Natamani tukue poa, nieleze kama nimenoa
Ili kwako niweze rejea,  usiseme no no no
No no, usiseme no, Nooooou
No no, usiseme no, Nooooou
No no, usiseme no, Nooooou
No no, usiseme no, Nooooou
Usiseme no ooh noooh
Unanistalk Instagram unanihate si the same
Mama mboga anashangaa kwani niliwacha kuja kukopa mboga
Mabeshte wanakuulizia nashindwa vile nitawaelezea kule wewe ulikopotelea potelea potelea
Mabeshte wanakuulizia nashindwa vile nitawaelezea kule wewe ulikopotelea potelea potelea
Na kile unataka mi nitadu, ili niwe nawe kila siku mapenzi tele mchana na usiku
Na kile unataka mi nitadu beibe ili niwe nawe kila siku mapenzi tele mchana na usiku
Eeeeh
Natamani tukue poa, nieleze kama nimenoa
Ili kwako niweze rejea,  usiseme no no no
Natamani tukue poa, nieleze kama nimenoa
Ili kwako niweze rejea,  usiseme no no no
No no, usiseme no, Nooooou
No no, usiseme no, Nooooou
No no, usiseme no, Nooooou
No no, usiseme no, Nooooou
Usiseme no ooh noooh
Natamani tukue poa, nieleze kama nimenoa
Ili kwako niweze rejea,  usiseme no no no
Natamani tukue poa, nieleze kama nimenoa
Ili kwako niweze rejea,  usiseme no no no
No no, usiseme no, Nooooou
No no, usiseme no, Nooooou
No no, usiseme no, Nooooou
No no, usiseme no, Nooooou
Usiseme no ooh noooh

Comments

Popular posts from this blog

Mtakatifu Lyrics- Isaac Wangai x Pitson

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

Senzenina By King Kaka Lyrics