TENA NA TENA By Red Acapella and H_Art The Band Lyrics

INTRO

MAGHA
Tena na tena na tena na tena …Wolan!

Tunaifanya tena na tena na tena
Tunaifanya tena na tena na tena

YABADOO
Kuna a lot of fire on the floor
and this is how we turn up agiza more
Sauti ya kinanda ongeza bro
Kama uko na shida sema ukanjwe madoh
Wale mambleina a few huletaga war
Ka unakashida we sema usipigwe kawar
Usinishukishe kateper utapigwa mablow
Zikishika kabrother usichome ukijafnya pro
Usijidai we ni deadly ukazidi ukalala kwa choo

Finya finya finya player, washa moto iwake each and every where
Nataka ona kila mkono kwenye hewa, yeah tunaifanya tena
DJ tafadhali finya player, wacha moto iwake each and everywhere
Nataka ona kila mkono kwenye hewa, yeah tunaifanya tena

Tunaifanya tena na tena na tena
Tunaifanya tena na tena na tena
Tunaifanya tena na tena na tena
Tunaifanya tena na tena na tena

DEX
Nipe more flow nipe more doh nipe more shows
Nipe more niweze kugrow more
Nina njaa nina njaa ya kung'aa na nina tamaa
ya kufika far ndio na ng'ang'ana
Na roga  na flow roga na flow tamu utataka tena
Nirudie isipite faster, nasaka madoh napiga mashow
Jah jah amenipa favour
Wanajua mimi ndiye master
Rasta si gangster napasha nawasha shikisha tamasha
Twavusha mipaka
tandika mikeka, chunga teleza
Jaribu eleza hakuna kucheza
Nakubembeleza, tuna wajibu wakutekeleza
hii taratibu kusema kutenda
Chakula kibao ni shida kumeza ni tena na tena

We bring the fire say yeah yeah yeah
Ka inakubamba say yeah yeah yeah
Red Acapella say yeah yeah yeah
We bring the fire say yeah yeah yeah
Ka inakubamba say yeah yeah yeah
Red Acapella say yeah yeah yeah


Tunaifanya tena na tena na tena
Tunaifanya tena na tena na tena
Tunaifanya tena na tena na tena
Tunaifanya tena na tena na tena

CHIRA
Ati mistari zangu ni sharp niite sniper
Ma rappers wana utoto mob wanafaa kudunga dipper
Juu kazi ni kushit kwa beat wawai pamper
Wengine nyege mob wanafaa kudunga biker
Oh my God fast kama faiba
Siduingi show za soo labda za makapa
Toka hapa hadi kwa Benjamin Mukapa
Ai tukifika ai wanawika ai
wanakatika ai kunaharibika ai
H_Art the band big bad crew,
Red Acapella si you know how we do
Cheza tena na tena na tena na tena

We bring the fire say yeah yeah yeah
Ka inakubamba say yeah yeah yeah
Red Acapella say yeah yeah yeah
We bring the fire say yeah yeah yeah
Ka inakubamba say yeah yeah yeah
Red Acapella say yeah yeah yeah


Finya finya finya player, washa moto iwake each and every where
Nataka ona kila mkono kwenye hewa, yeah tunaifanya tena
DJ tafadhali finya player, wacha moto iwake each and everywhere
Nataka ona kila mkono kwenye hewa, yeah tunaifanya tena*2

Tunaifanya tena na tena na tena
Tunaifanya tena na tena na tena
Tunaifanya tena na tena na tena
Tunaifanya tena na tena na tena

KENCHEZ

***Guitar Solo***

Comments

Popular posts from this blog

Mtakatifu Lyrics- Isaac Wangai x Pitson

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

Senzenina By King Kaka Lyrics