Nurulain Lyrics By Masauti

Stanza 1
Kwako sioni scandal
Baby nipe upendo
Usinitupe kando
Oohhhh... Ohhh
Upendo wako umenijaa mi,
Mpaka wengine siwaoni
Baby you drive me crazy
Umeniziba zangu mboni

Nimekuzoea,na kila time nataka niwe nawe
Girl you're my other half,
You make me complete & i always say.
You're my fantasy,the way you wear you're makeup is cute i see.
Una urembo wa tausi,mwendo taratibu yaani bila kasi.



Chorus
You're the one I wanna marry
Uwe mpenzi wa halali
Baby you're my Nurulain na nafurahi upo nami.
Ahe ah Ahe,Ahe

I wanna marry you

Stanza 2
 Mwenehu dede usiniriche mi ..nizakuzwera ndzo ukale nami, tulipotoka ni mbali basi penzi tulifadhili.
Moyo wangu umehifadhi hisia zako baby, and I will never make you cry laika mi ni wako baby...

You're my fantasy.....


Comments

Popular posts from this blog

Mtakatifu Lyrics- Isaac Wangai x Pitson

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

Senzenina By King Kaka Lyrics