Nahisi Upo Gilad Featuring Bensoul Lyrics
I see you in my dreams, bado nakuona
Me I'm just like anyone, saa zingine nikifa moyo,
Nahisi upo Unaniinua
I'm just like anyone, saa zingine nikifa moyo,
Nahisi upo, Unaniinua
Saa zingine nikiwa nimefunga macho nakuona
I see you in my dreams, saa zingine kukiwa kumetulia
Nahisi upo
Tell me can you feel it too…Nahisi upo
Me I'm just like anyone, saa zingine nikifa moyo,
Nahisi upo Unaniinua
I'm just like anyone, saa zingine nikifa moyo,
Nahisi upo, Unaniinua
Saa zingine nikiwa nimefunga macho nakuona
I see you in my dreams, saa zingine kukiwa kumetulia
Nahisi upo
Tell me can you feel it too…Nahisi upo
Sometimes nikifunga macho, I still see you in my dreams
Bado nakuona, I still see you in my dreams
Bado nakuona, bado nakuona
There’s a moment you know that this
feeling is the right one and you never wanna let it go
You are the reason everyday I take flight,
wewe mdio mwangaza wakinizimia light
Nakuwa close to you is what I wanna do
Umenifanya napepea hisia zangu ziko juu
Kuwa close to you is what I wanna do
Unaniinua, unaniinua
Hujawahi niweka down no no oh
Nakuona in my dreams every time I close
My eyes and I never wanna let you go
I chose you, you chose me,
You're the only one who knows me
And I never wanna let you go.
Nakuwa close to you Is what I wanna do,
Umenifanya napepea hisia zangu ziko juu
Kuwa close to you is what I wanna do
I see you in my dreams that’s all I wanna do
Nahisi upo, can you feel it too
Sometimes nikifunga macho
I still see you in my dreams, bado nakuona
Nakuona in my dreams, every time I close my eyes
and I never wanna let you go
I still see you in my dreams ,bado nakuona
I chose you, you chose me,
you're the only one who knows me
And I never wanna let you go
I still see you in my dreams, Bado nakuona
Unaniinua, Saa zingine nikiwa nimefunga macho nakuona
I feel you when I close my eyes,
saa zingine kukiwa kumetulia
Nahisi upo, nahisi upo
Hujawahi niweka down no no
Unaniinua, Hujawai niweka down down down down down down down
Nahisi upo
Comments