Posts

SIJASKIA VIBAYA - FENA FEAT. NJUGUSH lyrics

Image
FENA Nimeshinda nikiomba Khali collabo, Miaka mingi ananiambia mmh bado Ata sijaskia vibaya*2 Anakishow rudi studio okota kadoh before you call Jones to be in your video Ata sijaskia vibaya*2 Nikamshow, you just give me one year, I'll be rocking shows from the front to the rear You gonna wish you gave me that chance utalia Utaniomba lift in my private Lia Enyewe nilikua nimeskia vibaya Sikuhizi mi ndio nanyimana collabo Nimepanda bei nimepanda gwaya Wacha waskie vibaya*2 Chorus Sasa Mimi ni Don number one boss lady waskie vibaya Nimekua chini nikihustle daily na sina ubaya Shikisha kama veve eastleigh, nawashikisha na njeve baridi Kuzidi ntazidi wazidi kuskia vibaya FENA Oh, wacha waskie vibaya, wacheke na wewe wakutakie mabaya Kwangu Kila la heri Mungu wangu halali Wakidhani ntafeli nazidi Hadi ulaya Napiga looku na swag hadi ni retire Najaza booku kwa denri begi ni fire Nipate mwisho wa mwezi cheque ni waya napiga picha selfie kwa benk...

2 in 1 Naiboi Lyrics

Image
Dont angry me!!! 1 for the money x 2 Rixxxx  A Naiboi CHORUS See baby now We are 2 in 1 (2 in 1) We are 2 in 1 (2 in 1 ) When i am away you call me (Call me) I call you (Call you) Niki kumiss Na come thru ye To pick you Coz baby now we are 2 in 1 ye (2 in 1) We are 2 in 1 POST CHORUS Onanananana ye Nana nana x2 1 for the money 2 for the show x2  We Are 2 in one VERSE 1 Zagadangdude. Nikiwa mbali siezi concentrate Oh baby gal you got a hold on me e! kukuhata  kidogo nika ni everyday Baby wacha mucheso ebu come my way e! You make a grown man sad for sure Kahaujajua mami Now you know Ukiwa nami wani shika more Ndani ndani mpaka kwa roho Ohh baby PRE CHORUS Come slowly Go slowly ye My electric shock Wont shock you Come slowly Go slowly uuu ye! CHORUS See baby now We are 2 in 1 (2 in 1) We are 2 in 1 (2 in 1 ) When i am away you call me (Call me) I call you (Call you) Niki kumiss Na come thru ye To pick you Coz baby now...

Java Love - Tha Movement × Wamvii Lyrics

Image
Eti leo twaenda date Na mpenzi wangu kukula keki To where all the rich folks go, today I promise you, I will treat you good. Tutaketi kwenye booth, Ile ya corner Tutaitisha menu, tukule bora Cause I have saved up for you Java love java love Cause I have saved for you Java love java love Java love my java looove Java love sweet java love Ewe mpenzi karibia, busu kwenye cheek No no no no no Mziki mzuri tutasikia Tukikunywa hii kadrink Watu wanatuangalia, na sisi hatujali Oouh oh, cause I have saved up for you. Java love java love Cause I have saved for you Java love java love Java love my java looove Java love sweet java love Nitakufikisha stage, make sure you get home safe Lazima nikufikishe stage, please call ukifika home same Java love java love Java love My java love Java love sweet java love You're my java love my java loooovee ooh My Java love https://youtu.be/P2lkT-neEuc  - Link To The Video

Chaguo La Moyo- Otile Ft Sanaipei Tande Lyrics

Image
Oh baby nooo Mi nakuchagua wewe, Wewe uwe wangu Mume wangu, Baba ya watoto wangu Kupendwa na wewe majaliwa, kukuoa baraka Mshikaji wangu wa maisha, Ooh baby I love you And for you, mi nabadili mienendo yangu baaba baby for you, mi naukimbia ujana CHORUS Nijenge boma nawe, nawe zae watoto nawe , nawe Niwalee pamoja nawe, nawe Nizeeke paamoja nawe, nawe  Natakaa nijenge boma nawe, nawe zae watoto nawe , nawe Niwalee pamoja nawe, nawe Nizeeke paamoja nawe, nawe Chaguo la Moyo, Chaguo la moyo Na kwenye madhabau unavyo ng'aa Unavyopendeza kwenye hilo rinda Oh baby I knew you were the one for me Oh baby you are the one for me I can tell the way you smile the way you laugh The way you talk, the way you walk Baby you are the one for me I swear you are the one for me CHORUS And for you, mi nabadili mienendo yangu mama Baby for you, mi naukimbia ujana wangu Nijenge boma nawe, nawe zae watoto nawe , nawe Niwalee pamoja nawe, nawe Nizeeke paamoja nawe, nawe ...

TENA NA TENA By Red Acapella and H_Art The Band Lyrics

Image
INTRO MAGHA Tena na tena na tena na tena …Wolan! Tunaifanya tena na tena na tena Tunaifanya tena na tena na tena YABADOO Kuna a lot of fire on the floor and this is how we turn up agiza more Sauti ya kinanda ongeza bro Kama uko na shida sema ukanjwe madoh Wale mambleina a few huletaga war Ka unakashida we sema usipigwe kawar Usinishukishe kateper utapigwa mablow Zikishika kabrother usichome ukijafnya pro Usijidai we ni deadly ukazidi ukalala kwa choo Finya finya finya player, washa moto iwake each and every where Nataka ona kila mkono kwenye hewa, yeah tunaifanya tena DJ tafadhali finya player, wacha moto iwake each and everywhere Nataka ona kila mkono kwenye hewa, yeah tunaifanya tena Tunaifanya tena na tena na tena Tunaifanya tena na tena na tena Tunaifanya tena na tena na tena Tunaifanya tena na tena na tena DEX Nipe more flow nipe more doh nipe more shows Nipe more niweze kugrow more Nina njaa nina njaa ya kung'aa na nina tamaa ya kufika far ndi...

BENSOUL- N'TALA NAWE LYRICS

Image
Verse 1 Eh mpenzi we, usiwe na mashaka Ingawa mashida kesho tutatoboa Nikiwa kwa raha, tufurahi pamoja Na ninapo  lia we wanipa faraja Chorus N'tala nawe n'tala nawe Kwenye shida ama kwenye furaha dada N'tala nawe n'tala nawe Kwenye jua ama kwenye mvua N'tala nawe n'tala nawe Kwenye shida ama kwenye furaha dada N'tala nawe n'tala nawe Kwenye jua ama kwenye mvua Kwenye jua ama kwenye mvua Verse 2 Ona nyota zetu zinavyo meta meta Na ukitabasamu unapendeza sana Nikiwa kwa giza umekuwa mwangaza Tuliopitia umenivumilia Chorus N'tala nawe n'tala nawe Kwenye shida ama kwenye furaha dada N'tala nawe n'tala nawe Kwenye jua ama kwenye mvua N'tala nawe n'tala nawe Kwenye shida ama kwenye furaha dada N'tala nawe n'tala nawe Kwenye jua ama kwenye mvua *2 Kwenye jua ama kwa mvua  * * * Nitalala nawe N'tala nawe Nitalala nawe n'tala nawe Nitalala nawe n'tala nawe kwenye jua ama kwenye...

Upendo- Pillars of Faith Lyrics

Image
VERSE 1 Mbona chuki kati ya waumini, wapi upendo upendo ule wa kwanza Kwa nini sasa tuwe na utengano, ikiwa tumeokolewa kwa neema Tutaketi japa moja na Mungu, aliye mtoa mwana wake wa pekee Wapenzi ninawasihi tupendane ikiwa tu watoto wa Mungu *2 CHORUS Upendo huvumilia haujivunii, haukosi kuwa na adabu Hautafuti mambo yake kamwe, tena hufurahii udhalimu Ikiwa tuna upendo tu wake Mungu, wapenzi tutafte upendo *2 VERSE 2 Eeh Mungu wewe ni nguvu yetu ilete baraka kwetu sisi wana wako Haki yako iwe ni nguvu yetu, uwe faraja yetu hata kwa machungu Upendo na amani tujazie, undugu uzidi uhasama na kisasi Mbona majirani tunapigana tufunze upendo tukakumbatiane *2 CHORUS *5 Upendo huvumilia haujivunii, haukosi kuwa na adabu Hautafuti mambo yake kamwe, tena hufurahii udhalimu Ikiwa tuna upendo tu wake Mungu, wapenzi tutafte upendo *5