SIJASKIA VIBAYA - FENA FEAT. NJUGUSH lyrics

FENA
Nimeshinda nikiomba Khali collabo,
Miaka mingi ananiambia mmh bado
Ata sijaskia vibaya*2
Anakishow rudi studio okota kadoh
before you call Jones to be in your video
Ata sijaskia vibaya*2
Nikamshow, you just give me one year,
I'll be rocking shows from the front to the rear
You gonna wish you gave me that chance utalia
Utaniomba lift in my private Lia
Enyewe nilikua nimeskia vibaya
Sikuhizi mi ndio nanyimana collabo
Nimepanda bei nimepanda gwaya
Wacha waskie vibaya*2

Chorus
Sasa Mimi ni Don number one boss lady waskie vibaya
Nimekua chini nikihustle daily na sina ubaya
Shikisha kama veve eastleigh, nawashikisha na njeve baridi
Kuzidi ntazidi wazidi kuskia vibaya

FENA
Oh, wacha waskie vibaya, wacheke na wewe wakutakie mabaya
Kwangu Kila la heri Mungu wangu halali
Wakidhani ntafeli nazidi Hadi ulaya
Napiga looku na swag hadi ni retire
Najaza booku kwa denri begi ni fire
Nipate mwisho wa mwezi cheque ni waya
napiga picha selfie kwa benki na sina haya

CHORUS
Chema chajuiza ni yaleo ni ya Leo ni ya leo
Kuuza tutauza ni ya Leo ni ya leo ni ya leo
Nywele paka mafuta (marini) ni ya Leo ni ya leo ni ya leo
Kuuza tutauza, (denri) ni ya Leo ni ya leo ni ya leo
Sasa Mimi ni Don number one boss lady waskie vibaya
Nimekua chini nikihustle daily na sina ubaya
Shikisha kama veve eastleigh, nawashikisha na njeve baridi
Kuzidi ntazidi wazidi kuskia vibaya

NJUGUSH
Natena  natema napenya nikama nimetoka ..aah
Mumeelewa? Nimerap mpaka nimehema kama hema
Denri wanashonanga hema?
Wee, haa hi inahit na mi si mwimbi
Ningekua naimba wengine wangeenda nyumbani
Hi itakua hit watu watoe jacket haha juu ya joto
Waskie vibaaya
Twende Fenananana na Njugunanana

CHORUS
Sasa Mimi ni Don number one boss lady waskie vibaya
Nimekua chini nikihustle daily na sina ubaya
Shikisha kama veve eastleigh, nawashikisha na njeve baridi
Kuzidi ntazidi wazidi kuskia vibaya
Sasa Mimi ni Don number one boss lady waskie vibaya
Nimekua chini nikihustle daily na sina ubaya
Shikisha kama veve eastleigh, nawashikisha na njeve baridi
Kuzidi ntazidi wazidi kuskia vibaya
Sasa mi ni Donga, boss lady waskie vibaya

Comments

Popular posts from this blog

Mtakatifu Lyrics- Isaac Wangai x Pitson

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

Senzenina By King Kaka Lyrics