Posts

Java Love - Tha Movement × Wamvii Lyrics

Image
Eti leo twaenda date Na mpenzi wangu kukula keki To where all the rich folks go, today I promise you, I will treat you good. Tutaketi kwenye booth, Ile ya corner Tutaitisha menu, tukule bora Cause I have saved up for you Java love java love Cause I have saved for you Java love java love Java love my java looove Java love sweet java love Ewe mpenzi karibia, busu kwenye cheek No no no no no Mziki mzuri tutasikia Tukikunywa hii kadrink Watu wanatuangalia, na sisi hatujali Oouh oh, cause I have saved up for you. Java love java love Cause I have saved for you Java love java love Java love my java looove Java love sweet java love Nitakufikisha stage, make sure you get home safe Lazima nikufikishe stage, please call ukifika home same Java love java love Java love My java love Java love sweet java love You're my java love my java loooovee ooh My Java love https://youtu.be/P2lkT-neEuc  - Link To The Video

Chaguo La Moyo- Otile Ft Sanaipei Tande Lyrics

Image
Oh baby nooo Mi nakuchagua wewe, Wewe uwe wangu Mume wangu, Baba ya watoto wangu Kupendwa na wewe majaliwa, kukuoa baraka Mshikaji wangu wa maisha, Ooh baby I love you And for you, mi nabadili mienendo yangu baaba baby for you, mi naukimbia ujana CHORUS Nijenge boma nawe, nawe zae watoto nawe , nawe Niwalee pamoja nawe, nawe Nizeeke paamoja nawe, nawe  Natakaa nijenge boma nawe, nawe zae watoto nawe , nawe Niwalee pamoja nawe, nawe Nizeeke paamoja nawe, nawe Chaguo la Moyo, Chaguo la moyo Na kwenye madhabau unavyo ng'aa Unavyopendeza kwenye hilo rinda Oh baby I knew you were the one for me Oh baby you are the one for me I can tell the way you smile the way you laugh The way you talk, the way you walk Baby you are the one for me I swear you are the one for me CHORUS And for you, mi nabadili mienendo yangu mama Baby for you, mi naukimbia ujana wangu Nijenge boma nawe, nawe zae watoto nawe , nawe Niwalee pamoja nawe, nawe Nizeeke paamoja nawe, nawe ...

TENA NA TENA By Red Acapella and H_Art The Band Lyrics

Image
INTRO MAGHA Tena na tena na tena na tena …Wolan! Tunaifanya tena na tena na tena Tunaifanya tena na tena na tena YABADOO Kuna a lot of fire on the floor and this is how we turn up agiza more Sauti ya kinanda ongeza bro Kama uko na shida sema ukanjwe madoh Wale mambleina a few huletaga war Ka unakashida we sema usipigwe kawar Usinishukishe kateper utapigwa mablow Zikishika kabrother usichome ukijafnya pro Usijidai we ni deadly ukazidi ukalala kwa choo Finya finya finya player, washa moto iwake each and every where Nataka ona kila mkono kwenye hewa, yeah tunaifanya tena DJ tafadhali finya player, wacha moto iwake each and everywhere Nataka ona kila mkono kwenye hewa, yeah tunaifanya tena Tunaifanya tena na tena na tena Tunaifanya tena na tena na tena Tunaifanya tena na tena na tena Tunaifanya tena na tena na tena DEX Nipe more flow nipe more doh nipe more shows Nipe more niweze kugrow more Nina njaa nina njaa ya kung'aa na nina tamaa ya kufika far ndi...

BENSOUL- N'TALA NAWE LYRICS

Image
Verse 1 Eh mpenzi we, usiwe na mashaka Ingawa mashida kesho tutatoboa Nikiwa kwa raha, tufurahi pamoja Na ninapo  lia we wanipa faraja Chorus N'tala nawe n'tala nawe Kwenye shida ama kwenye furaha dada N'tala nawe n'tala nawe Kwenye jua ama kwenye mvua N'tala nawe n'tala nawe Kwenye shida ama kwenye furaha dada N'tala nawe n'tala nawe Kwenye jua ama kwenye mvua Kwenye jua ama kwenye mvua Verse 2 Ona nyota zetu zinavyo meta meta Na ukitabasamu unapendeza sana Nikiwa kwa giza umekuwa mwangaza Tuliopitia umenivumilia Chorus N'tala nawe n'tala nawe Kwenye shida ama kwenye furaha dada N'tala nawe n'tala nawe Kwenye jua ama kwenye mvua N'tala nawe n'tala nawe Kwenye shida ama kwenye furaha dada N'tala nawe n'tala nawe Kwenye jua ama kwenye mvua *2 Kwenye jua ama kwa mvua  * * * Nitalala nawe N'tala nawe Nitalala nawe n'tala nawe Nitalala nawe n'tala nawe kwenye jua ama kwenye...

Upendo- Pillars of Faith Lyrics

Image
VERSE 1 Mbona chuki kati ya waumini, wapi upendo upendo ule wa kwanza Kwa nini sasa tuwe na utengano, ikiwa tumeokolewa kwa neema Tutaketi japa moja na Mungu, aliye mtoa mwana wake wa pekee Wapenzi ninawasihi tupendane ikiwa tu watoto wa Mungu *2 CHORUS Upendo huvumilia haujivunii, haukosi kuwa na adabu Hautafuti mambo yake kamwe, tena hufurahii udhalimu Ikiwa tuna upendo tu wake Mungu, wapenzi tutafte upendo *2 VERSE 2 Eeh Mungu wewe ni nguvu yetu ilete baraka kwetu sisi wana wako Haki yako iwe ni nguvu yetu, uwe faraja yetu hata kwa machungu Upendo na amani tujazie, undugu uzidi uhasama na kisasi Mbona majirani tunapigana tufunze upendo tukakumbatiane *2 CHORUS *5 Upendo huvumilia haujivunii, haukosi kuwa na adabu Hautafuti mambo yake kamwe, tena hufurahii udhalimu Ikiwa tuna upendo tu wake Mungu, wapenzi tutafte upendo *5

Give Thanks Alekey Feat Gilad Lyrics

Image
This is G, Listen to Alekey Verse 1 Alekey Don't you give-in to the dispair hold my hands Let me walk with you, in this journey called life Let me talk to you Some see the pleasure but don't see the pain Some see the sunshine but don't see the rain Uuh Give thanks for life, If God didn't love us would we be here None of them can stop the time, so don't you live in fear Can't you see that I don't wanna fight you now, Some see the pleasure but don't see the pain  some see the sunshine they don't see the rain So give thanks to God, give thanks For life Chorus Give thanks for life give thanks for life give thanks for life Give thanks uuh *2 Verse 2 Gilad Don't you give-in to the dispair hold my hands Let me walk with you, through this journey called life Let me talk to you Some see the pleasure they don't see the pain Some see the sunshine they don't see the rain Uuh yeah! Give thanks f...

Nurulain Lyrics By Masauti

Image
Stanza 1 Kwako sioni scandal Baby nipe upendo Usinitupe kando Oohhhh... Ohhh Upendo wako umenijaa mi, Mpaka wengine siwaoni Baby you drive me crazy Umeniziba zangu mboni Nimekuzoea,na kila time nataka niwe nawe Girl you're my other half, You make me complete & i always say. You're my fantasy,the way you wear you're makeup is cute i see. Una urembo wa tausi,mwendo taratibu yaani bila kasi. Chorus You're the one I wanna marry Uwe mpenzi wa halali Baby you're my Nurulain na nafurahi upo nami. Ahe ah Ahe,Ahe I wanna marry you Stanza 2  Mwenehu dede usiniriche mi ..nizakuzwera ndzo ukale nami, tulipotoka ni mbali basi penzi tulifadhili. Moyo wangu umehifadhi hisia zako baby, and I will never make you cry laika mi ni wako baby... You're my fantasy.....