Neema Yako Lyrics - Rehema Simfukwe
Haya ni maombi yangu kwako, wote ninaowapenda wasipitwe na neema yako.
Basi ikiwa ipo ahadi, ya kuingia rahani mwako sitaki kukosa na niwapendao. X2
Funua neema yako, familia yangu ikujue
Funua neema yako mataifa yote yakujue

Neema yako (Tusipitwe na) Neema Yako X4
<Intercession>
Funua neema yako, familia yangu ikujue
Funua neema yako mataifa yote yakujue
Neema Yako
Comments