TAKE IT ALL by DR IPYANA lyrics (Chukua Utukufu Wako)
(Dr. Ipyana)
So take all of your glory
Honor and praise unto you
For you are worthy to be praised
Son of God x2
(Back up)
Take all of your glory
Honor and praise unto you
For you are worthy to be praised
Son of God x2
Chukua utukufu wako
Heshima mamlaka ni zako
Umeinuliwa juu
Umeinuliwa juu
Chukua utukufu wako
Heshima mamlaka ni zako
Dunia yote inakiri uu bwana
Umeinuliwa juu
Chukua utukufu wako
Heshima mamlaka ni zako
Take it all, take it all
Chukua utukufu wako
Heshima mamlaka ni zako
Take it all, take it all.
Prayer & Intercession
Comments