Mapenzi Lyrics- Gilad

Verse 1
Mapenzi Ooh
When you give love you get love
Nimekua nikiuliza,Mungu wangu nitaenda wapi
Nikakutana na watu wengi,
Nikawauliza nitaenda wapi
Wakanifunza hivi, wakanifunza hivi

Si unachofanya, ni ufanyavyo
Sio unachosema, ni usemavyo
And you, ukipeana mapenzi
And you, utapokea

 Chorus
Mapenzi yeah
When you give love you get love
Mapenzi yeah
When you give love you get love
Mapenzi yeah
When you give love you get love
Mapenzi yeah
When you give love you get love

Verse 2

Nilienda pwani nilienda, kila mashinani nilienda
Nikakutana na watu wengi
Nikawauliza nitaenda wapi, wakanifunza hivi
Wakanifunza hivi,

Si unacho fanya, ni ufanyavyo
Sio unachosema, ni usemavyo
And you, ukipeana mapenzi
And you, utapokea

Chorus
Mapenzi yeah
When you give love you get love
Mapenzi yeah
When you give love you get love
Mapenzi yeah
When you give love you get love
Mapenzi yeah
When you give love you get love

Mapenzi yeah, mapenzi yeah
When you give love you get love
Mapenzi yeah, mapenzi yeah
When you give love you get love
When you give love, when you give love you get love
Mapenzi yeah, when you give love

Ukipeana mapenzi, utapokea mapenzi Yeah
Ukipeana mapenzi, when you give love
When you give love
When you give love
When you give love
When yo give love Yeah,
ukipeana mapenzi utapokea mapenzi


Comments

Popular posts from this blog

Mtakatifu Lyrics- Isaac Wangai x Pitson

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

Senzenina By King Kaka Lyrics