Unajua By Gilad and Wendy Lyrics
Sema, mpenzi how you been?
Unaendelea aje?
Ama ni aje? (yeah)
Sema, mpenzi how you been?
Umepotelea wapi?
Umefanya nini, na nani?
Unajua, ati baby it’s cold outside,
Mpenzi won’t you come inside?
You don’t have to hurt your love.Unajua, ati baby I’m your guy,
Mpenzi put your pride aside.
You don’t have to hurt your love.
Unaendelea aje?
Ama ni aje? (yeah)
Sema, mpenzi how you been?
Umepotelea wapi?
Umefanya nini, na nani?
Unajua, ati baby it’s cold outside,
Mpenzi won’t you come inside?
You don’t have to hurt your love.Unajua, ati baby I’m your guy,
Mpenzi put your pride aside.
You don’t have to hurt your love.
Sema, mpenzi how you been?
Habari ya maisha?
I miss you my teacher (yeah)
Sema, mpenzi how you been?
Umepotelea wapi?
Umefanya nini, na nani?
Unajua (sema aje),
Ati babe its cold outside,
Mpenzi won’t you come inside,
You don’t have to hide your love,
Unajua, ati baby am your guy,
Mpenzi put your pride aside,
You don’t have to hide your love.
Habari ya maisha?
I miss you my teacher (yeah)
Sema, mpenzi how you been?
Umepotelea wapi?
Umefanya nini, na nani?
Unajua (sema aje),
Ati babe its cold outside,
Mpenzi won’t you come inside,
You don’t have to hide your love,
Unajua, ati baby am your guy,
Mpenzi put your pride aside,
You don’t have to hide your love.
Sema, mpenzi i’ve been fine.
Sijui nisemeje?
Niko poa I miss you.
Imagine, hajui kunipa love,
I don’t know why I ever left you.
Mbona sikukupa time…
Unajua, ati that it’s cold outside,
Mpenzi can I come inside?
I don’t wanna hide my love.
Umeshindaje baby now that you’re with him and you’re not here,
Nakuhitaji I need to let you know nimekumiss
Nitakupenda milele even though I’m not around you,
There’ll always be room for you right here kwa roho yangu…
Unajua(aje)
Ati baby it’s cold outside,
Mpenzi won’t you come inside,
You don’t have to hide your love.
Unajua(sema aje, aje)
Ati baby I’m your guy,
Mpenzi put your pride aside,(am gonna put my pride)
You don’t have to hide your love.x2
Unajua, ati baby am your guy,
Mpenzi put your pride inside,
You don’t have to hide your love.
…my guy yee…
Sema, mpenzi how’ve you been?
Sijui nisemeje?
Niko poa I miss you.
Imagine, hajui kunipa love,
I don’t know why I ever left you.
Mbona sikukupa time…
Unajua, ati that it’s cold outside,
Mpenzi can I come inside?
I don’t wanna hide my love.
Umeshindaje baby now that you’re with him and you’re not here,
Nakuhitaji I need to let you know nimekumiss
Nitakupenda milele even though I’m not around you,
There’ll always be room for you right here kwa roho yangu…
Unajua(aje)
Ati baby it’s cold outside,
Mpenzi won’t you come inside,
You don’t have to hide your love.
Unajua(sema aje, aje)
Ati baby I’m your guy,
Mpenzi put your pride aside,(am gonna put my pride)
You don’t have to hide your love.x2
Unajua, ati baby am your guy,
Mpenzi put your pride inside,
You don’t have to hide your love.
…my guy yee…
Sema, mpenzi how’ve you been?
Comments