Nakuahidi by Gilad and Dela Lyrics

Naenda nitarudi,
Imenibidi sina budi,
Riziki, kutafuta,
Usife moyo,
Jipe moyo,
I promise,
Machozi, machozi nitafuta,
Nieleze, unachotaka,
Nieleze I’ll be listening,
Usilie, wakati unataka,
Niambie I’ll be listening.
Niahidi, tutaonana tena, tutaonana tena, x 2,
Nakuahidi, (Nakuahidi) tutaonana (tutaonana)tena,
Nakuahidi, tutaonana (Nakuahidi)
Tutaonana tena, tutaonana tena.
I promise you.
Nakungoja, am not going anywhere, nitangoja,
Kumbuka sio hoja, mi na we,
Kukufa na kupona, ma baby,
Nitavumilia aaaaah.
Niahidi, tutaonana tena, tutaonana tena, x 2,
Nakuahidi, (Nakuahidi) tutaonana (tutaonana)tena,
Nakuahidi, tutaonana (Nakuahidi)
Tutaonana tena, tutaonana tena.
Nieleze, unachohisi(usiende yeeeeh),
Nieleze I’ll be listening(usiende yeeeeh),
Usilie, wakati unataka (sitolia yeeeeeh),
Niambie I’ll be listening (sikiliza ah aah aaah),
Sina budi ila kusema kwaheri,
Ninakutakia kila la heri,
Naomba Mola akulinde,
Akurejeshe salama.
Niahidi, tutaonana tena, tutaonana tena, x 2
Nakuahidi, (Nakuahidi) tutaonana (tutaonana)tena,
Nakuahidi, tutaonana (Nakuahidi)
Tutaonana tena, tutaonana tena.
Niahidi, tutaonana tena, tutaonana tena (niambie I’ll be listening),
Tutaonana tena, tutaonana tena,
Niahidi(niahidi) niahidi( niahidi),
Tutaonana tena, tutaonana tena,
Nakuahidi, niambie I’ll be listening,
I’ll be listening, I promise,
(tutaonana, tutaonana)
I promise you.

Comments

Popular posts from this blog

Mtakatifu Lyrics- Isaac Wangai x Pitson

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

Senzenina By King Kaka Lyrics