Rosella Lyrics - H_Art The Band × Lady Jay Dee

Afraid to tell him how she feels
She silently whispers to herself
Afraid, holding her breathe, maybe he might hear her.
See, he doesn't feel the same way, Maybe
H_Art the Band Lady Jay Dee

Verse 1

Nikaja kupenda na moyo wangu wote,
Binti huyu aliyenyefanya nimuote, 
usiku na mchana nikawa nikama nimepagawa
Sionekani popote nikaja kutenda mambo
Mengi magumu na mazito
Ilimradi niwe naye lakini sasa ninapotazama 
naona kwamba niliachwa upweke.

Nilikua na wingi wa mahaba nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza
Kamba nikakaza, lakini huonekani mpaka sasa
Nilikua na wingi wa mahaba nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza
Kamba nikakaza, lakini huonekani mpaka sasa

Chorus

    Rosela, mi najiuliza
    Rosela, Je umebadilika
    Rosela, nashindwa kuamua aaah ×2

Verse 2

Ni ukweli niliamua kuondoka.
Nikidhani nitapendwa niendako
Ooh hakuna
Oh mi nilidhani nitakuta tofauti
hio yote mpaka sasa sijaona
Moyo waniuma nikikumbuka
Mambo mengi we ulinikosea

Najiuliza je ni kweli umebadilika
Na maumivu mi nayarudia
Masikini nashindwa amua
Ooh nashindwaaa ×2

   Rosela, mi najiuliza
    Rosela, Je umebadilika
    Rosela, nashindwa kuamua aaah ×2

Verse 3

Yani ilikua siku mingi sana hatujazungumza
SMS zangu hurudishi, please call me zangu hunijibu
Simu hushiki
Na najua hiwezi kua ni simu ulipoteza
Juu social media nimeona selfie zako
Na ile top flaini kali nilikubuyia ya dashiki
Kweli ni kukumiss nimekumiss tena sana
Na najua umenimiss pia  unanilenga tu juu tulikosana.
Ego yako iko juu, ulikuaga dem wa maringo.
Lakini siteti, nilikupendaga tu ivo ivo
 na ni tangu unitoke stress iko juu tu sana
Sura imejaza wrinkles, kila time
najipata tu nimekasirikia vitu simple simple
Hata jokes na pimples nacatch hawa wakishow tu madimples.
Yani kosa walisema si kosa, kosa nikurudia kosa, 
na najua unajua ulikosa but huwezi kubali
Umekosea, nishakuzoea, ni sawa tu
Nishakusamehea unaact selfish
But kuishi bila we, machozi siwezi daily,
Kukula kwa hoteli, si unajua mi ni mlazy.
Malkia, smile tamu crescent shape ya mwezi.
Sipendi tukikosana
Napenda tukichora saba kwa saba love heart
Si unajua nakupenda tu kwa sana pamoja,
Tembea Dar, Kenya, Moshi, Arusha
Tunajirusha rusha, spending karibu dolce, gabana mwanaume si unajua ni kukazana, shopping
Maspaghetti, crop 9months later baby shower
Na pamper nimeshika rada, latha
First born anakaribisha brother.
Twende nyumbani nikuinteoduce kwa mother
Mrasta ameshapata the other
Rudi Nyumbani

    Rosela, mi najiuliza
    Rosela, Je umebadilika
    Rosela, nashindwa kuamua aaah ×2

Comments

Unknown said…
Thank you for the lyrics..
Unknown said…
Thanks for lyrics
Unknown said…
Thanks so much for the lyrics was waiting for this
Unknown said…
NO time wasted swee..
Unknown said…
Dope word by word correct... Nice
Unknown said…
Sipendi tukikosana ... I love the words good job @noreen crique
Unknown said…
Haha Rosella
Unknown said…
My all-time favourite. Thank for the lyrics

Popular posts from this blog

Mtakatifu Lyrics- Isaac Wangai x Pitson

Number One By Le Band and Suzziah Lyrics

Senzenina By King Kaka Lyrics