Kenyan Message Lyrics by Muthoni Drummer Queen MDQ
Verse 1
Tangu ile siku tukuelect, haushkagi simu men tuwezi connect
Nimekua nikisaka appointment
nimekua nikisuffer dissapointment
Siku hizi si hukuonaga kwa teli
Sisi maubao wewe lunch hoteli
Panganga panganga na mapot belly
Conmen watchmen wanakupangia wakikusalimia
na we huwezi notice hata huwezi dhania
Siku hizi country yote venye kuna njaa
Kila mtu anafikiria tu chapa

Chorus
Don't push me coz I'm close to the edge
I'm trying not to loose my head
Ni kama jungle sometimes mimi huwonder mbona sijaenda under ×4
I'm trying not to loose my head
Ni kama jungle sometimes mimi huwonder mbona sijaenda under ×4
Verse 2
Na wale wana doh ni 1%
Si huwaonanga siku ya kulipa rent
Sisi hukuanga ndani ya predicament
Biggest spender government and church officials, na miracles zao also artificial
The congregation wako so superficial
wanataka ule Mungu mubeneficial
Unofficial, kitambulisho unaweza get in a few days
Unaweza get in a few ways, Unaweza get bila delays
Nowadays hosi hakuna madoctor
Na gava hijali juu sisi wagonjwa
Tukienda private tutapay so ni obvious nani ana say.

Don't push me coz im close to the edge
im trying not to loose my head
Ni kama jungle sometimes mimi huwanda mbona sijaenda under ×4
im trying not to loose my head
Ni kama jungle sometimes mimi huwanda mbona sijaenda under ×4
Verse 3
Hakuna doh kaa mafuta ya waarabu
lakini pia doh kwa futa si ajabu
Vile kina sep blattaer wamepakua doh ka bufett kwa platter
Na vile sisi hupendanga news, na vile sisi hupeaga views malike mashares kujiamusse, na world affairs, ma world issues sikuhizi
ni za social media modern daily encyclopedia
Kufuata hawa masocialite wakienda Naija kusocialize
lakini pia doh kwa futa si ajabu
Vile kina sep blattaer wamepakua doh ka bufett kwa platter
Na vile sisi hupendanga news, na vile sisi hupeaga views malike mashares kujiamusse, na world affairs, ma world issues sikuhizi
ni za social media modern daily encyclopedia
Kufuata hawa masocialite wakienda Naija kusocialize
Don't push me coz im close to the edge
I'm trying not to loose my head
Ni kama jungle sometimes mimi huwanda mbona sijaenda under ×4
I'm trying not to loose my head
Ni kama jungle sometimes mimi huwanda mbona sijaenda under ×4
Also, ya'al comment. Say something. I need to know I'm not just wasting my time.
Comments