Masheesha Lyrics by H_Art The Band ft BenSoul
Msupa wangu anataka masheesha, na kwa mfuko pesa zangu zimeisha.
Na yule waiter ananitisha, ati mabouncer atawaita.
Na huyu dem bado anaitisha, na mi nashindwa sasa venye nitazusha
Tulipatana juzi kwenye insta-grrram na mi staki choma picha.
Chorus
Itakua ngori, skiza stori, wacha kuckeka hii ni ngori
nilimwacha bila sorry.
na ukicheza
utapatana na ye patana na ye
patana na ye ye ye ye *4
Kwenye profile mimi ni lawyer,kizungu tamu kama ile ya Lumumba
Lakini ukweli mimi ni Hawker, nina thao mbili manze leo kulidhoka, makanjo
walinishka hata
ni bahati stenje bado sijafika, na huyu dem zake bado hazijashika,
mzinga tatu sasa zimekatika
Itakua ngori, skiza stori, wacha kuckeka hii ni ngori
nilimwacha bila sorry.
na ukicheza utapatana na ye
patana na ye
patana na yeye wewe
demu wa masheesha*4
Sasa nawaza vile nitaenda choo
Nitoroke huko nyuma backdoor
Akinisaka asinipate ng'oo
akiuliza aambiwe nimegoo
Lakini vile mi naenda kuchomoka
Yule waiter akaniona, hiyo bill
akaidrop, na kwa mfuko mimi sina hata bob
Itakua ngori, skiza stori Wacha kucheka hii ni ngori
Nilimwacha bila sorry.
Naukicheza utapatana na ye
patana na ye ,
patana na yeye wewe eeh
Demu wa masheehsa.
Utapatana na ye
Patana na ye
Patana na yeye wewe eeh
demu wa masheesha.
Uta patana patana patana patana patana na yeye wewe
demu wa masheesha
Utapatana na ye patana na ye, patana na yeee yeee ooh
demu wa masheesha
Patana na ye, patana na ye patana na ye yeea
Demu wa masheesha
Utapatana na ye,patana na ye patana na yeye yeyeye
demu wa masheesha
Utapatana na ye patana na yeye
Patana na yeyeea
demu wa masheehsa
patana na ye patana na yeeeee eeh
Noreen Crique. ♡♥
Comments