LYRICS Chukua Usukani (Nakuhitaji Messiah) - Nyasha Ngoloma LYRICS
VERSE 1 Eeh Bwana wewe ni ngome yangu Pia mwamba wa wokovu wangu Nisimamishe Juu ya neno lako Niangazie uso wako CHORUS Nakuhitaji Messiah, Nakuhitaji Siwezi bila we, chukua usukani VERSE 2 Nina imani wewe waweza yote Mipango mema siku zote Nikiogopa baba nikumbushe Hutaniacha nipotee Hutaniacha niangamie Hutaniacha niaibike CHORUS Nakuhitaji Messiah, Nakuhitaji Siwezi bila we, chukua usukani Nakuhitaji Messiah, Nakuhitaji Siwezi bila we, chukua usukani Nakuhitaji Messiah, Nakuhitaji Siwezi bila we, chukua usukani Nakuhitaji Messiah, Nakuhitaji Siwezi bila we, chukua usukani BRIDGE Nakuhitaji Bwana Nakuhitaji Bwana we Siwezi bila we, chukua usukani Mikono nainua sasa nanyenyekea Eeeh Siwezi bila we, chukua usukani Kufanikiwa kwangu kunakutegemea weeh Siwezi bila we, chukua usukani Kusimama kwa wokovu kunakutegemea wewe Bwana Siwezi bila we, chukua usukani Nakuhitaji Bwana Nakuhitaji Bwana we Siwezi bila we, chukua usukani Mikono ninainua na magoti ninapiga Bwana Siwezi bila...