Mtakatifu Lyrics- Isaac Wangai x Pitson
Mtakatifu ni wewe, Mwaminifu ni wewe Mwema ni wewe, (hakuna) mwingine kama wewe Mtakatifu ni wewe, Mwaminifu ni wewe Mwema ni wewe, (hakuna) mwingine kama wewe Utukufu wakuzingira, Malaika waabudu Wasujudu mbele zako, wakisema kwamba wewe, wewe ndiwe Mungu X2 Mtakatifu ni wewe, Mwaminifu ni wewe Mwema ni wewe, (hakuna) mwingine kama wewe Uwepo wako nafurahia, wimbo nakuimbia Nasjudu mbele zako nikisema kwamba wewe, wewe ndiwe Mungu X2 Mtakatifu ni wewe, Mwaminifu ni wewe Mwema ni wewe, (hakuna) mwingine kama wewe _Bridge_ Umestahili ewe Bwana Mungu wetu Kupokea utukufu, heshima na uweza, milele na milele X4 Mtakatifu ni wewe, Mwaminifu ni wewe Mwema ni wewe, (hakuna) mwingine kama wewe Mwingine kama wewe, mwingine kama wewe Mwingine kama wewe, milele na milele X2